akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Madikteta uchwara wabakaji wa demokrasia acheni kujilinganisha na waliowazidi mnooo ktk demokrasia ili kuhalalisha uporaji na ukandamizaji wa haki za watz.Uvunjifu wa amani upi huo!! Wanachama wangapi wa democrats (upinzani) wamekamatwa, wametekwa au kupigwa risasi na watu wasiojulikana na wanaojulikana, wanachama wangapi wa democrats wametawanywa wasifanye mikutano, polisi mara ngapi wamemzuia Joe Biden kufanya mikutano, Polisi mara ngapi wamepiga risasi au virungu au kuzuia wanachama wa democrats kuandamana, hakuna hata mara moja.