Tanzania yashtushwa na hali ya uvunjifu wa amani kwenye Uchaguzi wa Marekani

Madikteta uchwara wabakaji wa demokrasia acheni kujilinganisha na waliowazidi mnooo ktk demokrasia ili kuhalalisha uporaji na ukandamizaji wa haki za watz.Uvunjifu wa amani upi huo!! Wanachama wangapi wa democrats (upinzani) wamekamatwa, wametekwa au kupigwa risasi na watu wasiojulikana na wanaojulikana, wanachama wangapi wa democrats wametawanywa wasifanye mikutano, polisi mara ngapi wamemzuia Joe Biden kufanya mikutano, Polisi mara ngapi wamepiga risasi au virungu au kuzuia wanachama wa democrats kuandamana, hakuna hata mara moja.
 
Muwaonye Raiyaa wenu kutozuru Marekani na wale waliopo Marekani wawe kwenye tahadhari 😂😂
 
Marekani ndiye dikteta Mkuu duniani.
 
Nimekosa cha kucomment hapa!
 
Nimekosa cha kucomment hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…