Tanzania yashuka nafasi 22 kwenye Viwango vya Uhuru wa Habari Duniani. Hali ni mbaya!

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo ikiporomoka kutoka nafasi ya 95 hadi nafasi ya 117 duniani.

Mporomoko huo wa nafasi 22 ni moja ya mabadiliko makubwa hasi katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa mwaka huu, ukiashiria kuwa hali ya mazingira ya kazi kwa waandishi wa habari imezidi kuwa ngumu.

Tanzania Yachanganywa na Mataifa Hatari​

Kulingana na jedwali la viwango vya kidunia (Global Index 2026), Tanzania sasa inashika nafasi ya 117 ikiwa na alama 46.22. Katika orodha hiyo, Tanzania imezungukwa na mataifa kama:

  • Israel (Nafasi ya 116)
  • South Sudan (Nafasi ya 118)
  • Burundi (Nafasi ya 119)
Hali hii inaiweka Tanzania katika "rangi nyekundu" kwenye ramani ya dunia, ikiashiria kuwa uhuru wa habari uko katika hali mbaya.

media.png

media2.png

​
Soma pia Tanzania miongoni mwa nchi zenye uhuru mdogo zaidi wa mtandao

Source: Uhuru Wa Habari Wa Tanzania
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
 
Ibilisi wa Kizimkazi kafanya kweli. Kazi inaendelea, she’ll push the country all the way to the bottom!
 
Pascal Mayalla maoni yako ni muhimu hapa.
Mkuu Genu, GenuineMan , asante kunitonya!, mwaka jana kwenye bandiko hili, kuna kitu nilishauri, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
Pia nikaandika makala Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kola...sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938
Humo nilisema
Wanabodi
Tanzania ndio nchi kinara wa uhuru wa habari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kimataifa Tanzania inazidi kupanda, mwaka huu imeshika nafasi ya 95!, mwaka jana tulikuwa na fasi ya 97, mtu anayetakiwa kupewa pongezi za dhati na kupewa maua yake, ni kinara wetu, Rais Samia Suhuhu Hassan, pongezi sana Mama na asante kuendelea kutupatia uhuru huu muhimu wa habari, japo haki ya kupata habari ni haki muhimu kwa taifa letu, ila kuna haki muhimu kuliko haki zote, ukiondoa haki ya kuishi, hii ni haki ya kujieleza, freedom of expression, mtu kusema atakinukisha, ni haki yake, sio kosa!,ni kama mtu kusema "mimi leo ntaua!", kusema tu utakinukisha bila nia ya kukinukisha au kupanga kukinukisha sio kosa, kosa ni kupanga kutenda, kusema tuu ni kosa la sedition na sio uhaini!.

Uhaini ni kitendo cha kupanga kukinukisha kwa kutenda na sio kusema kukinukisha!, hivyo nashauri kale ka Simba ka Kizimkazi, ambako kako kwenye ile cage, kaachiwe karejee kwenye the wilderness, kuendelea kukashikilia, kunatuharibia sana na kutuchafulia sana reputation yetu ya Kisiwa cha amani kitaifa na Kimataifa!.

Nimemuomba Mama yetu, kama kwenye ile kesi ya ugaidi iliyowahi kufutwa licha ya kufikia hatua ya watuhumiwa kukutwa na prima facie,(kesi ya kujibu) hii kesi ya uhaini, sio tuu inatuvurugia amani, bali pia inatuchafua taswira njema ya nchi yetu kitaifa na kimataifa, na nikamshauri Rais Samia, haya kale ‘ka Simba ka Kizimkazi’, anaweza kukafanya kama alivyomfanya yule jamaa kwenye ile kesi ya ugaidi!. Licha ya Tanzania kupanda kwenye uhuru wa habari mwaka uliopita, tunaweza kujikuta tumeanguka tena!

Nimalizie kwa ile hoja ya kale ka Simba ka Kizimkazi, mnaonaje kaondolewe kwenye ile cage, kanatuchafulia sana kimataifa,au kaendelee tuu kuwa caged mpaka lile jambo letu lipite, kasije kuachiliwa, kakakinukisha kweli ?。

Mungu Ibariki Tanzania

Wasalaam

Paskali
Kilichoporomosha uhuru wetu wa habari ni kilichotokea October 29, kama kale ka simba ka Kizimkazi, kangeachiwa, kili kilichotokea, kisingetokea!.

P
 
Acha kumhusisha Mhe. Lissu na October 29.
Watanzania walio wengi ni myopic, na wengine ni blind, too blind to see the bigger picture!, kilic hotokea October 29, ni kitendo tuu na sio chanzo!, tunaokijua chanzo tunajua, kama tungefanya minimum reforms, Chadema ingeshiriki uchaguzi, TL angegombea na kuvuna kura za kutosha, kilichotokea October 29, kisingelitokea!.
TL alisema nini kwenye NRNE, nini kimetokea hiyo October 29?.
P
 
Watanzania walio wengi ni myopic, na wengine ni blind, too blind to see the bigger picture!, kilic hotokea October 29, ni kitendo tuu na sio chanzo!, tunaokijua chanzo tunajua, kama tungefanya minimum reforms, Chadema ingeshiri uchaguzi, TL angegombea na kuvuna kura za kutosha, kilihotokea October 29, kisingetokea!.
TL alisema nini kwenye NRNO, nini kimetokea hiyo October 29?.
P
Uandishi wako wa kimkakati sana! Uzuri ni kwamba unaeleweka.
Mungu akubariki.
 
Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo ikiporomoka kutoka nafasi ya 95 hadi nafasi ya 117 duniani.

Mporomoko huo wa nafasi 22 ni moja ya mabadiliko makubwa hasi katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa mwaka huu, ukiashiria kuwa hali ya mazingira ya kazi kwa waandishi wa habari imezidi kuwa ngumu.

Tanzania Yachanganywa na Mataifa Hatari​

Kulingana na jedwali la viwango vya kidunia (Global Index 2026), Tanzania sasa inashika nafasi ya 117 ikiwa na alama 46.22. Katika orodha hiyo, Tanzania imezungukwa na mataifa kama:

  • Israel (Nafasi ya 116)
  • South Sudan (Nafasi ya 118)
  • Burundi (Nafasi ya 119)
Hali hii inaiweka Tanzania katika "rangi nyekundu" kwenye ramani ya dunia, ikiashiria kuwa uhuru wa habari uko katika hali mbaya.

Soma pia Tanzania miongoni mwa nchi zenye uhuru mdogo zaidi wa mtandao

Source: Uhuru Wa Habari Wa Tanzania
Msigwa atakuja kufafanua, siamini habari kama si za Msigwa.
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
Wewe hauko sawa! Kuna kitu kimekunogea na kinakukuna vilivyo! Tutajua tu siku moja
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
we endelea kuchapa kazi huku ukipiga "marktime" kwa sababu hujui maana ya freed of press

Media Freedom and Economic Prosperity
  • Catalyst for Growth: Research indicates that strengthening press freedom is linked to stronger economic performance, while restrictions can cause economic damage.
  • Reduced Corruption: Free media enhances transparency, which helps to curb corruption and ensures more equitable development.
  • Financial Stability: Independent media acts as a watchdog for financial institutions, reducing systemic risk and ensuring better, more accurate information flow in markets.
  • Investment & Stability: Free media is associated with lower levels of sociopolitical instability—such as conflict and corruption—thereby encouraging investment and economic growth
 
Gentleman,
hizo hekaya ni vitu useless tu kwenye development,
haziwazuii waTanzania wenye bidii kuendelea kuchapa kazi na huku serikali sikivu ya CCM ikiendelea kuwahakikishia waTanzania wote ulinzi na usalama wa maisha na mali zao, na kuboresha mazingira ya shughuli zao za kujipatia kipato kua bora zaidi 🐒
 
  • You are a SILLY, foolish imbecil and lacking inteligence and serious thought , I DONT BLAME U but you are a product a "useless pool" of genome (JUNK DNA)
  • you are a liability to mankind/detrimental to society
  • even though you are imbecilic , you can learn to urgue wisely without throwing personal attacks
 
blame yourself for the life that you are currently living,

still you have an opportunity of making it better, work hard tirelessly 🐒
 
Back
Top Bottom