Tanzania yashuka nafasi 22 kwenye Viwango vya Uhuru wa Habari Duniani. Hali ni mbaya!

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo ikiporomoka kutoka nafasi ya 95 hadi nafasi ya 117 duniani.

Mporomoko huo wa nafasi 22 ni moja ya mabadiliko makubwa hasi katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa mwaka huu, ukiashiria kuwa hali ya mazingira ya kazi kwa waandishi wa habari imezidi kuwa ngumu.

Tanzania Yachanganywa na Mataifa Hatari​

Kulingana na jedwali la viwango vya kidunia (Global Index 2026), Tanzania sasa inashika nafasi ya 117 ikiwa na alama 46.22. Katika orodha hiyo, Tanzania imezungukwa na mataifa kama:

  • Israel (Nafasi ya 116)
  • South Sudan (Nafasi ya 118)
  • Burundi (Nafasi ya 119)
Hali hii inaiweka Tanzania katika "rangi nyekundu" kwenye ramani ya dunia, ikiashiria kuwa uhuru wa habari uko katika hali mbaya.




​
Soma pia Tanzania miongoni mwa nchi zenye uhuru mdogo zaidi wa mtandao

Source: Uhuru Wa Habari Wa Tanzania
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
 
Ibilisi wa Kizimkazi kafanya kweli. Kazi inaendelea, she’ll push the country all the way to the bottom!
 
Pascal Mayalla maoni yako ni muhimu hapa.
Mkuu Genu, GenuineMan , asante kunitonya!, mwaka jana kwenye bandiko hili, kuna kitu nilishauri, Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?
Pia nikaandika makala Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kola...sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938
Humo nilisema
Kilichoporomosha uhuru wetu wa habari ni kilichotokea October 29, kama kale ka simba ka Kizimkazi, kangeachiwa, kili kilichotokea, kisingetokea!.

P
 
Acha kumhusisha Mhe. Lissu na October 29.
Watanzania walio wengi ni myopic, na wengine ni blind, too blind to see the bigger picture!, kilic hotokea October 29, ni kitendo tuu na sio chanzo!, tunaokijua chanzo tunajua, kama tungefanya minimum reforms, Chadema ingeshiriki uchaguzi, TL angegombea na kuvuna kura za kutosha, kilichotokea October 29, kisingelitokea!.
TL alisema nini kwenye NRNE, nini kimetokea hiyo October 29?.
P
 
Uandishi wako wa kimkakati sana! Uzuri ni kwamba unaeleweka.
Mungu akubariki.
 
Msigwa atakuja kufafanua, siamini habari kama si za Msigwa.
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
Wewe hauko sawa! Kuna kitu kimekunogea na kinakukuna vilivyo! Tutajua tu siku moja
 
hilo ni jambo la kawaida na lisilo na athari zozote za moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi wake kiuchumi,kijamii na kisiasa.

ni short,
hilo ni jambo useless 🐒

waTanzania tuendelee kuchapa kazi kama kawaida
we endelea kuchapa kazi huku ukipiga "marktime" kwa sababu hujui maana ya freed of press

Media Freedom and Economic Prosperity
  • Catalyst for Growth: Research indicates that strengthening press freedom is linked to stronger economic performance, while restrictions can cause economic damage.
  • Reduced Corruption: Free media enhances transparency, which helps to curb corruption and ensures more equitable development.
  • Financial Stability: Independent media acts as a watchdog for financial institutions, reducing systemic risk and ensuring better, more accurate information flow in markets.
  • Investment & Stability: Free media is associated with lower levels of sociopolitical instability—such as conflict and corruption—thereby encouraging investment and economic growth
 
Gentleman,
hizo hekaya ni vitu useless tu kwenye development,
haziwazuii waTanzania wenye bidii kuendelea kuchapa kazi na huku serikali sikivu ya CCM ikiendelea kuwahakikishia waTanzania wote ulinzi na usalama wa maisha na mali zao, na kuboresha mazingira ya shughuli zao za kujipatia kipato kua bora zaidi 🐒
 
  • You are a SILLY, foolish imbecil and lacking inteligence and serious thought , I DONT BLAME U but you are a product a "useless pool" of genome (JUNK DNA)
  • you are a liability to mankind/detrimental to society
  • even though you are imbecilic , you can learn to urgue wisely without throwing personal attacks
 
blame yourself for the life that you are currently living,

still you have an opportunity of making it better, work hard tirelessly 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…