Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Ahahaha nilishawaambia T.Z ni shit-hole.Niamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu , we do have leaders with no creative
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha nilishawaambia T.Z ni shit-hole.Niamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu , we do have leaders with no creative
Very sad to our economyAhahaha nilishawaambia T.Z ni shit-hole.
With these situation we can't compete with our brothers south Africa and even AngolaAhahaha nilishawaambia T.Z ni shit-hole.
Building of 2 Lamu berths on schedule, says Lapsset boss
Lamu residents set to reap from completion of mega projects
First ship set to dock at Lamu berth in Novemberukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sanani sawa tu..maana Hii Bandari kama ingejegwa ingekuwa na hasara tu na mchina angetufilisi aiji akilini kudhoofisha bandari ya Tanga na Dar kwa ajili ya Bagamoyo port.Kwa hili naipa serikali big 5[emoji106]
ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sanani sawa tu..maana Hii Bandari kama ingejegwa ingekuwa na hasara tu na mchina angetufilisi aiji akilini kudhoofisha bandari ya Tanga na Dar kwa ajili ya Bagamoyo port.Kwa hili naipa serikali big 5[emoji106]
Duh! Geza Ulole ataambia nini watu?Hata road ya express way au toll road ya Dar chalinze imepigwa chini ldc n ldc tu
Hivi mawazo haya huwa mnayatoa wapi?bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini .
Nikweli hiyo bandari na sgr ilikuwa ni mtego wa wachina kutuingiza choo cha kike hapo tunafaa kumpongeza magufulini sawa tu..maana Hii Bandari kama ingejegwa ingekuwa na hasara tu na mchina angetufilisi aiji akilini kudhoofisha bandari ya Tanga na Dar kwa ajili ya Bagamoyo port.Kwa hili naipa serikali big 5[emoji106]
Hapana, hilo lilikuwa ni dili la Kikwete na Tanzania isingenufaika.Kikwete alikua anajaribu sana, kwa hii bandari angetupiga bao la uhakika, awamu ya leo wanatapatapa sana hata sijui vipau mbele vyao nini haswa.
Sisi tukomae na Lamu.
Hahahahani sawa tu..maana Hii Bandari kama ingejegwa ingekuwa na hasara tu na mchina angetufilisi aiji akilini kudhoofisha bandari ya Tanga na Dar kwa ajili ya Bagamoyo port.Kwa hili naipa serikali big 5👍
Your English is so poor just use SwahiliThe Parliament , in the infrastructure budget to day , you can serch on it, its today news
Hater kazini, lugha hujui point Hamna hueleweki unataka kuzungumzia kitu ganiNiamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu , we do have leaders with no creative
Kwani watekaji ni viongozi Mkuu ?Harafu mkitekwa mnaanza kutuambia tupaze sauti muachiwe