Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Wanaosema USA wanataka ku ban kwa sababu ya ukiukwaji wa haki. Trump ameshaweka msimamo wa serikali yake “America first”! Kama haina madhara kwao haingilii.

 
Mbona shambulizi la Lissu tulilikemea sana tena kwa nyuzi kadhaa kila siku tukabanana na Lumumba boys wa humu JF.
Hili la sasa twende nyuma twende mbele ebu fikiri
Kuhusu kubadirisha mikataba ya madini Canada (wamarekani)
Kesi ya madai ya mkulima Stanley (marekani)
Kupuzia usalama wa raia wanaopotea na kupotezwa na wasio julikana
 
Tanzania in the list!! Hii ni hatari

Sisi huku ndani mnaweza kutuambia hatujui kitu tukae kimya lakini Mmarekani anawaza kutuwekea vikwazo, Mwambie asubirie kwanza ninatripu ya kwanza mwezi ujao ya kuwapelekea mitumba

Kabudi tunazidi kukushauri ili pia uwe unamshauri rais vizuri kuhusu mambo ya kidiplomasia.

Ukilalamika sana kuhusu nchi mmoja(USA) kuwa na ubeberu wa kuziwekea vikwazo nchi nyingine bila kupata baraka ya nchi za Umoja wa Mataifa.
Kwa nini wawe na ujasiri huo? Probably wewe na watawala wengine mmekuwa wa kwanza kuvunja Katiba ya nchi yetu, mmekuwa wa kwanza kuwanyima wananchi haki zao za msingi kama vile kujieleza, kuwakosoa viongozi ambao mnajifanya miungu watu sasa hivi(hivi hata vitabu vya dini mnasoma kweli), vyombo vya habari vingi mkipenda viripoti mpendavyo ninyi hasa kuwasifia tu vinginevyo mkivifungia au kuwapiga faini kubwa kubwa.

Kumbukeni nyie ni wanadamu na miaka yenu ni mitano(awamu ya kwanza) basi Mungu akipenda mikumi kwa maana ya awamu mbili, kwanini muwe busy na kubadilisha au kutunga visheria vidogo vidogo ili kuwabana wananchi wenu pasipo na sababu za msingi hasa kuwanyima uhuru wao?

Katiba mpya mnasema si kipaumbele chenu ambacho ndo kama kitabu kitakatifu kwa nchi yetu, Tume huru ya uchaguzi mkiulizwa mnasema hii ya sasa hivi inakasoro gani. Nchi ni watu then vitu. Ukiwa na watu mnaoelewama vizuri basi una nchi, ukitanguliza vitu ukasahau wananchi mimi naona ni wrong direction
 
Wewe ambaye uko ndani ya Serikali ya Marekani tuelezee ukweli kuhusu hilo katazo la Watanzania kuingia Marekani! Kama ni kuhusu kuminya Demokrasia na kutesa Wapinzani, Uganda na Rwanda wasinge kosekana katika hilo zuio!
Hili la sasa twende nyuma twende mbele ebu fikiri
Kuhusu kubadirisha mikataba ya madini Canada (wamarekani)
Kesi ya madai ya mkulima Stanley (marekani)
Kupuzia usalama wa raia wanaopotea na kupotezwa na wasio julikana
 
PREDICTION - NO FIXED !

FULHAM - NO WIN

1X - DOUBLE CHANGE
 
Kamrekebishe
 
utawala huu ukome sasa wameshindwa kuongoza waondoke au waondolewe maana unapanda mbegu ya mateso ya watoto wetu huko mbele.
 
Sababu zipi zimefanya tuwekwe kwenye hiyo list mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ambao bila kwenda Ulaya hawawezi kukamilisha growth cycles (human metamorphosis) ndio watakao suffer. Ila sisi tulioamua kukaa huku na Magufuli wetu ni raha mustarehe maana tukihitaji fedha tunakwenda kulima mpunga Kapunga, Ubaruku na Mbarali au kilombero na maisha yanasonga. Kwanza majority ya waafrika waliozamia Ulaya na amerika ni maskini kuliko muuza viazi wa kariakoo shimoni(ni prestige with no money no cash). Sisi wengine tukitaka kwenda Ulaya tunaingia sebuleni tunawasha DSTV zetu na tunafungulia sinema za Holywood au BBC, Aljazeera, CNN news n.k tukimaliza tunalala.
 
Hili la sasa twende nyuma twende mbele ebu fikiri
Kuhusu kubadirisha mikataba ya madini Canada (wamarekani)
Kesi ya madai ya mkulima Stanley (marekani)
Kupuzia usalama wa raia wanaopotea na kupotezwa na wasio julikana
Trump ameshaweka wazi “America first”. Haingilii mambo ambayo hayana madhara kwa USA.

Mkulima sio US citizen na anaishi South Africa. Marekani wanamigogoro ya kiuchumi na Canada. Haiwezi ku ban Tanzania kwa maslahi ya Canada ambayo Canadian PM was recorded mocking President Trump!
 
Na ni sasa unamuuliza hayo? Mie au hao

Diplomatic passports hazizuiliwi? Nani kakudanganya? Wakiweka zuio tena hao ndio wana hali mbaya zaidi
Wewe upuuzi ulioandika hauna uhusiano na sababu ya kuweka masharti magumu kupata US Visa
 
Halafu naanza kuelewa kwanini tumepelekwa mbio mbio hapa mwishoni kwenye usajili wa alama za vidole. Kumbe Tanzania ilishawashiwa taa nyekundu na mabeberu!
Atleast una make sense ila wenzng n mie hata kusom hawawez
 
Hivi madhara ya travel ban na kunyimwa Visa ni yapi?.Wamama na watoto,wanyonge na misaada ya madawa itakuwaje,tuonee huruma
 
Ungejua faida za Globolization usingefurahia hili,travel ban itakuwa na changamoto zake nyingi.
 
Well said. Natumaini amekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…