Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

It's about time we let go, coz we really need to stand on our feet and keep moving "we don't have much of a choice, that's for sure"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJkus,
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao

Duh! Marekani haikwamagi maana yule ni MBABE WA DUNIA, nadhani KWERE zake kwa Tsnzania ni za kufanyia kazi kwa hekima kuu kwa maslahi ya Taifa, maana ni ni nchi gani iliyoweza kuhimili vikwazo bila kuadhirika sana?
Kwa mfano suala la Mh. Makonda tunahita ushahidi ili hatua zichukuliwe hima’ mambo mengi marekani huweka kama mtego na usipotumia akili nyingi leo anatuhumiwa Makonda tukionyesha kumkingia kifua tuhuma hizohizo zinakua ni za serekali na zikifuatiwa na vikwazo vigumu zsidi.
Ninaamini kama Mh. Kabudi aliweza kufanya majajiliano na BARICK na kutulete MKATABA WA KIHISTORIA , angali bado na uwezo wa kujajiliana na USA na kUFIKIA maridhiano fulani kwa maslahi ya Taifa letu, majibu na hatua za kibabe yatamsaia huyu BEBERU kufikia malengo yake! Tukikumbuka kua KUKOSANA na USA ni kukosana na wawekezsji pia pamoja na nchi nyingi zinazotii maagizo kutoka USA.
 
Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.

Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Nimechelewa kidogo lakini ngoja niseme.Nenda kafikirie tena.
 
Tangazo la kionevu hili limesababisha Corona Dunia nzima, Baada ya Corona kuisha iko namna ya kistarabu ambayo italazimu kila nchi iishi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…