Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Mzee wa Shithole anarudi
Ila msijali kwani wangapi kwa mwaka mnaenda huko?
 
Yule mwamba sijui kwanini alipiga sikio 😃

Kwanza Nikajua tumepigwa ban kuingia peponi alaaaa
 
Wambura na jeshi lake wametuwezesha kuwekwa humo.

Mijitu inafanya matukio ya kikatili bila kuwaza mara mbili.

Kifuatacho ni ICC kutoa hati za kukamatwa kwa wahuni wote kuanzia wakuu wa mihimili yetu ili iwe fundisho
 
Pira arudishe Bilioni 7 zetu.
 
BAN itawahusu watekaji CCM na familia zao,raia wa kawaida haiwahusu
 
The Trump effect: people having conniptions and shitting on themselves based on nothing Trump has said or done.

Funny!
 
BAN itawahusu watekaji CCM na familia zao,raia wa kawaida haiwahusu
Exactly!

Mtu huna rekodi yoyote ile ya jinai.

Yaani uzuiwe kusafiri kisa tu ni Mtanzania?

Iliwahi kutokea lini na wapi?

Na hata kama ukizuiwa kisa tu wewe ni Mtanzania, so effin’ what?

Why do people think not being allowed to travel to the US is some sort of punishment akin to purgatory?
 
na kujikomba koote na kila kitu kutolea mfano marekani ukweli nimefurahi
 
Jiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Jibu swali utakufa?

Kwani nikitu gani kinatoka marekani ambacho kisipokuja tunakufa? Mbona unamawazo mgando sana? So ww kataka maisha yako yotee unawaza kua mtegemezi tu...unajua utajiri wa Africa ww?
 
Kwa imani zetu. Lakini tunaweza kwenda nchi nyingine. Kama mtu hakutaki kwako kwanini ulazimishe? Ni kujipendekeza
Am sure hujawahi kuwa hata na passport huwezi kujuwa Marekani ni nini? Ungejiuliza kwanza kwa nini marais wote wa dunia wanakutana Marekani ungejificha na huu ujinga uliocoment.
 
Trump anawafungua macho Watanzania wajitegemee tu, sasa hapo ni juu ya Watanzania kuelewa somo.
Kiwanja cha ukweli na cha uhakika kwa sasa ni New zealand na Australia, huku mishahara ni mikubwa na wameshusha kodi, kwa wewe ukitaka kwenda unatumia ETA tu na mkoba wako wa kinyamwezi.

Wabongo tuna lack of information, New Zealand ina scheme mpaka za madreva wa mabasi na truck wamewacategory kwenye skilled immigrant, unaweza kupata work permit ukiwa na job offer ukiwa upo nchini kwenu.

Mayanki wengi Waingereza sasa hivi wanakimbilia Australia kwa sababu ya kushushwa kodi na mishahara yao ni mikubwa.

Sasa Wabongo tupanuwe network goli lipo Ocenia.
 
Mtoa mada amejitahid kaleta na source kabsa kazi kwetu,lakin bora hiyo prediction isije timia.USA sio mbingun ndiyo lakin hatuna sababu za kufika hatua ya kuzorotesha uhusiano nao,maana wako watz wengi ambao wanafaidka na uhusiano mzuri nao.Itakuwa kituko cha karne kwa mtanzania wa zama hizi za wasomi kuona nisawa tuu hata tukipewa ban,ikiwa wakati huu ambao ajira ni tatizo la dunia kila nchi inajitahid kufungua mipaka ili watu wao wapate fursa nchi zingine.
HATA KAMA MIMI NA UKOO WANGU WOTE HATUWEZI KWENDA USA LAKINI CLASMATES,AGEMATES,MAJIRAN,MARAFIKI,NA NDUGU ZA SCHOOLMATES WANGU HAWAWEZ KOSA FAIDIKA KWENDA HUKO.
 
Waache upendeleo,mbona nchi iloua GENz haipo kwenye orodha,yani hata Babu Mu7 na yeye nchi yake kwenye orodha haipo
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wewe unacheza rockup, kama wewe haunashida huko watz kibao wanataka kwenda huko kwa mahitaji mbalimbali kama binadamu huru.
 
Sioni kama kuna la msingi huko, hata bidhaa zao huwa mbaya mbaya, We lost nothing, NCHI AMBAYO UCHUMI WAKE UNANYANYUKA BILA MSAADA WAO HAIWI RAFIKI WAO.
-->>N. B, Oposition wataona wameshinda na watakuwa na furaha kweli,, maana mabarua yao ya kuchafua kuchafua nchi ngambo yatakuwa yamefanikiwa sasa!, wanasahau magumu haya endapo yataligusa taifa nao watayakoga pia, ndio maana nasema upinzani hawana akili kabisa!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…