Mpumbavu na uzalendo mavi angalia nchi zilizotengwa nao kama Iran na North Korea hali ya maisha na uchumi wa nchi hizo. Hii ni reminder kuwa mfumo wa utawala una walakini nchi inaongozwa na washenzi dawa ni kuangalia utawala wenu wa kiimlaKwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Achana nao hao Wazee wa upindeWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Kwa hili ccm linatuhusu,wizi na ufisadi uchaguzi wa hovyo usio na uwazi.Mpumbavu na uzalendo mavi angalia nchi zilizotengwa nao kama Iran na North Korea hali ya maisha na uchumi wa nchi hizo. Hii ni reminder kuwa mfumo wa utawala una walakini nchi inaongozwa na washenzi dawa ni kuangalia utawala wenu wa kiimla
how kiongozi?Mbona saudia hawalazimishi demokrasia!?
Limacho kumchuzi linarembua kila mahali litaumia na jinsi linavyopenda kujinafasi huko nje na viingereza chekecheke style! Kenya wameenda ICC na hili limdebwedo haliponi subiri!!Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Limacho kumchuzi linarembua kila mahali litaumia na jinsi linavyopenda kujinafasi huko nje na viingereza chekecheke style! Kenya wameenda ICC na hili limdebwedo haliponi subiri!!Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Tutakwenda China na Urusi. Wao wacha waendelee na ushetani wao wa upinde.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Kabisa MkuuYani unataka ile list ya Makonda aliyoianzisha Mike Pompeo iendelezwe siyo?
😹😹😹 min -meAliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?
Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?
Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.
Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.
WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
Kuna vitu unajitahidi kuwa serious lakini anatokea mjinga mmoja anakufanya unacheka na mizaha yake… 😹🤣Mkuu mbona tuna Mo na Azam
Wasiojulikana wametusababishia hayoWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Hahaha hahaha mwaaah mwaaah 💕👌🏿😚Kuna vitu unajitahidi kuwa serious lakini anatokea mjinga mmoja anakufanya unacheka na mizaha yake… 😹🤣
Maghayo we ni mbusi