joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nani hajui Tanzania ni nchi ya kibepari?
Africa's north Korea...
nani hajui Tanzania ni nchi ya kibepari ?
Africa's north Korea...
Nani hajui Tanzania ni nchi ya kibepari?
Africa's north Korea.
Tunajua toka kitambo tena ni bepari mkiritimba, hawa wakenya wako na shida nyingi kwa kichwa. kila kitu lazima wajilinganishe na Tanzania!nani hajui Tanzania ni nchi ya kibepari ?
Africa's north Korea...
Mnapenda kujisifu bure tu.Kwa Tanzania, WaAfrika wengi (walio nje ya Afrika) wanaipenda na kuitaja taja sana Tanzania ni kutokana na Historia jinsi ilivyopambana kuwakomboa WaAfrika dhidi ya ukandamizaji. Mfano kipindi kile cha nyuma viongozi wote wa juu wa Black Panthers, kama kina Anjela Davis, Walter Rodney, Martin Jr na wengine wengi, their second home country was Tanzania.
Wakija huku wakionana na JK Nyerere walikuwa wakifarijika sana kuona jinsi anavyohisi kama vile wao wanavyohisi. Alikuwa akiwasimulia kuhusu jinsi wanavyopambana na uonevu wa Afrika ya kusini, kutaka kukomboa nchi nyingine.
Hivyo walikuwa wakifarijiwa sana na mambo hayo. Na mpaka sasa, hususan awamu hii. WaAfrika wengi wanaamini ukombozi wa MuAfrika unaweza tokea Tanzania.
Mnapenda kujisifu bure tu.
Sawa. Nitazisoma.Ni historia bwana mdogo ndiyo iko hivyo. Soma the Autobiograph of Angela David, How Europe Underdeveloped Afrika na The Dead Aids by Dambisa Moyo, you will under to what I'm refering.
Sawa. Nitazisoma.
we compare you to North Koreatunajua toka kitambo tena ni bepari mkiritimba, hawa wakenya wako na shida nyingi kwa kichwa. kila kitu lazima wajilinganishe na Tanzania!!