joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania imetajwa na "Africa insider" kuwa ni miongoni mwa nchi tano katika Afrika zinazopendelewa na "Black Americans, Caribbeans" na watu wenye asili ya Africa duniani, nchi zingine NNE ni Ghana, Senegal, Gambia na Namibia.
Katika Comments, raia wa nchi zote wameonyesha kukubaliana ni hiyo orodha isipokua wakenya pekee ambao wamepinga kuwepo kwa Tanzania kwa kutoa sababu mbalimbali ikiwemo lugha ya Kiingereza.
Sikiliza, angalia hii video, kisha soma comments hapo chini ujionee wivu na chuki za wakenya kwa Tanzania.