Thank you. Napenda kusoma and i can see it is true for you too. Education imenifungulia milango mengi.Good boy, this is why sometimes in April 2019, I wanted to include you to the Transaction Advisory Team which I'm leading.
Hivi hata unajua maana ya "bepari" kweli?Nani hajui Tanzania ni nchi ya kibepari?
Africa's north Korea.
Ni kweli tulikuwa na historia nzuri ila itabaki kuwa historia kwa utawala huu.Kwa Tanzania, WaAfrika wengi (walio nje ya Afrika) wanaipenda na kuitaja taja sana Tanzania ni kutokana na Historia jinsi ilivyopambana kuwakomboa WaAfrika dhidi ya ukandamizaji. Mfano kipindi kile cha nyuma viongozi wote wa juu wa Black Panthers, kama kina Anjela Davis, Walter Rodney, Martin Jr na wengine wengi, their second home country was Tanzania.
Wakija huku wakionana na JK Nyerere walikuwa wakifarijika sana kuona jinsi anavyohisi kama vile wao wanavyohisi. Alikuwa akiwasimulia kuhusu jinsi wanavyopambana na uonevu wa Afrika ya kusini, kutaka kukomboa nchi nyingine.
Hivyo walikuwa wakifarijiwa sana na mambo hayo. Na mpaka sasa, hususan awamu hii. WaAfrika wengi wanaamini ukombozi wa MuAfrika unaweza tokea Tanzania.
Itakuwa kwenye ndoto za mchana.Kuna sehemu niliona
1.Ghana
2.Nigeria
3.South Africa
4.Senegal
5.Kenya
walidhan Americans watapenda ukabila wa kikuyu 🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania imetajwa na "Africa insider" kuwa ni miongoni mwa nchi tano katika Afrika zinazopendelewa na "Black Americans, Caribbeans" na watu wenye asili ya Africa duniani, nchi zingine NNE ni Ghana, Senegal, Gambia na Namibia.
Katika Comments, raia wa nchi zote wameonyesha kukubaliana ni hiyo orodha isipokua wakenya pekee ambao wamepinga kuwepo kwa Tanzania kwa kutoa sababu mbalimbali ikiwemo lugha ya Kiingereza.
Sikiliza, angalia hii video, kisha soma comments hapo chini ujionee wivu na chuki za wakenya kwa Tanzania.
Thank you. Napenda kusoma and i can see it is true for you too. Education imenifungulia milango mengi.