Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi 5 Afrika, Wakenya wapinga na kudai kwamba Tanzania inapendelewa haistahili kuwepo

Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi 5 Afrika, Wakenya wapinga na kudai kwamba Tanzania inapendelewa haistahili kuwepo

Good boy, this is why sometimes in April 2019, I wanted to include you to the Transaction Advisory Team which I'm leading.
Thank you. Napenda kusoma and i can see it is true for you too. Education imenifungulia milango mengi.
 
Kwa Tanzania, WaAfrika wengi (walio nje ya Afrika) wanaipenda na kuitaja taja sana Tanzania ni kutokana na Historia jinsi ilivyopambana kuwakomboa WaAfrika dhidi ya ukandamizaji. Mfano kipindi kile cha nyuma viongozi wote wa juu wa Black Panthers, kama kina Anjela Davis, Walter Rodney, Martin Jr na wengine wengi, their second home country was Tanzania.

Wakija huku wakionana na JK Nyerere walikuwa wakifarijika sana kuona jinsi anavyohisi kama vile wao wanavyohisi. Alikuwa akiwasimulia kuhusu jinsi wanavyopambana na uonevu wa Afrika ya kusini, kutaka kukomboa nchi nyingine.

Hivyo walikuwa wakifarijiwa sana na mambo hayo. Na mpaka sasa, hususan awamu hii. WaAfrika wengi wanaamini ukombozi wa MuAfrika unaweza tokea Tanzania.
Ni kweli tulikuwa na historia nzuri ila itabaki kuwa historia kwa utawala huu.
 
Walitaka Kenya ndiyo iwemo.humo? wale hawana tofauti na manyang'au, pesa za worldBank zinawatokea puani lazima watangaze Corona hata kama takwimu zitakuwa za uongo
 
Ukweli kuhusu kiingereza bi huu hapa,Kenya si mabingwa wa kuongea kiingereza kiasi cha wa kuwatisha watanzania,kila mkenya atakae kuja na kiingereza chake atadai pia katokea Nairobi,hii imetosha tu kwa mwenye akili kuelewa kwanini kila mkenya anaejua kiingereza katokea Nairobi,
Hautokaa usikie mkenya kaja Tanzania halafu akadai katokea Turkana.
Sasa basi ingie katika kiswahili,hawa jamaa hawajui kiswahili vizuri na kuna sehemu hadi leo hawajui kiswahili wala hawajui kiingereza,ukingiua Arusha,kati ya vijana kumi wanaozungumza lugha ya kiingereza,waane watakua wana lugha nyingine ya ziada,hawa jamaa ni tambo nyingi sana,ila ukweli upo hivi mtanzania kiingereza kweke ni kama lugha nyingine,hivyo si kipaumbele cha kwanza,ingawa wengi wanazungumza lugha hii,kama hamuamini siku moja tufanyeni live game na hawa jamaa muone wanavyoshusha macho chini,kazi kukomalia lugha ambayo ilisababishwa babu zao wakapigwa na mayai yaliyooza,ndio,WIMBO WA HISTORIA nso hueleza hayo.
 
walidhan Americans watapenda ukabila wa kikuyu 🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania imetajwa na "Africa insider" kuwa ni miongoni mwa nchi tano katika Afrika zinazopendelewa na "Black Americans, Caribbeans" na watu wenye asili ya Africa duniani, nchi zingine NNE ni Ghana, Senegal, Gambia na Namibia.

Katika Comments, raia wa nchi zote wameonyesha kukubaliana ni hiyo orodha isipokua wakenya pekee ambao wamepinga kuwepo kwa Tanzania kwa kutoa sababu mbalimbali ikiwemo lugha ya Kiingereza.

Sikiliza, angalia hii video, kisha soma comments hapo chini ujionee wivu na chuki za wakenya kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom