Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

Wanisamehe niko na mama Sana tu,

"Uzalendo ni kusimama na nchi yako wakati wote na Rais pale tu anapopatia "

Nitasema tena na tena maadamu sisemi uongo nitasema tena,
MKUU UNAWAPA WATU SHIDA SANA,
Waliamini Samia atashindwa, Sasa haya mataarifa yako yanawachanganya sana,
Shikilia hapohapo, Hii ndio siasa sasa,
Kila kitu naushahidi, wanabaki kutukana tu,

Samia ni mpango wa Mungu
Na
 
Heshima kwako mkuu wangu,

Mama anawatu sio mchezo,

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Amen utukufu ni kwa Mungu,

Tuendelee kumsemea vizuri Rais wetu


๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wanisamehe niko na mama Sana tu,

"Uzalendo ni kusimama na nchi yako wakati wote na Rais pale tu anapopatia "

Nitasema tena na tena maadamu sisemi uongo nitasema tena,

Na
Sawa mbeba pochi wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ