Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

Safi sana go goo
 
Kazi iendelee
 
Jombaa unapokea kiasi gani? Mtu haitaji kuwa genious saana kujua ww ni mlamba [emoji527][emoji527]

Magufuli katuachia ugonjwa mbaya saana.

Pembeni na hayo,nimeona picha ya mama yetu mbugani, vipi ile movie yetu inatoka lini?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Ao wanafunzi aliyowaongeza mikopo yao haifiki 50% kila mmoja! Wengi wamepata 30% wakati iyo miaka 5 uliyosema watu walikuwa wanapiga 100%, 80%, 70% kawaida!

Pale Mkwawa hakuna first year ana mkopo wa 50%!
 
Hii nzuri sana,
 
Rubbish
 
Ila Tanzania kuna magaidi hata wapo mahakamani. Si salama kwa wawekezaji!
 
Taarifa njema sana
 
MOJA YA NJIA AMBAYO MA BE BE RU , WANAITUMIA KUNYONYA AFRIKA NI KUPITIA UWEKEZAJI .........

We must to think first before prouding to something fake.
 
MOJA YA NJIA AMBAYO MA BE BE RU , WANAITUMIA KUNYONYA AFRIKA NI KUPITIA UWEKEZAJI .........

We must to think first before prouding to something fake.
Sawa mkuu unayohoja
 
Good done,
 
Viva Samia Viva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…