Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

Safi sana Tanzania, We love you Tanzania,
 

This is good.

Naomba kujua, Je Tanzania ilipata FDI kiasi gani na kulikuwa na FDI projects ngapi kwa mwaka 2021?
 
Lakini si unaamini kuwa kesi yake inaendeshwa kwa uhuru na haki tena inasikilizwa mfululizo, acha ukweli ujulikane baada ya kesi kukamilika. Sijaona hapo kosa lipo wapi
 
Nchi ambayo Rais wake anahamasisha ufisadi kuwa kinara wa uwekezaji haiwezi kufua dafu katika maendeleo🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Kazi na iendelee kwelikweli,
 
 
Asante sana kwa hili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…