ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Dah.... Dili jingine kwa matapeli ya nchi yaan hatutajua hata sh mia ya gas hii inaenda wapi
Wanamtanfao wakivamia tu, tumekwishaGas ya wanamtandao hiyo.
Raia hatuna chetu kwenye Nchi yetu.
Gesi unayotumia kupikia unayouziwa ghali na hii ya Mtwara ni vitu viwili tofauti..Sioni faida za haya yote Kama gesi tunauziwa Bei ghari kiasi hiki