ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 5,059 Reaction score 15,862 Oct 23, 2025 #21 Dah.... Dili jingine kwa matapeli ya nchi yaan hatutajua hata sh mia ya gas hii inaenda wapi
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,430 Reaction score 21,851 Oct 23, 2025 #22 Mali ya Prince hiyo
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,748 Reaction score 18,096 Oct 23, 2025 #23 Tanzania hata iwe na MAFUTA zaidi ya nchi za kiarabu, hata iwe na nini bado itabaki kua maskini labda mfumo huu wa mafisadi uondolewe
Tanzania hata iwe na MAFUTA zaidi ya nchi za kiarabu, hata iwe na nini bado itabaki kua maskini labda mfumo huu wa mafisadi uondolewe
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,396 Reaction score 3,444 Oct 23, 2025 #24 Sioni faida za haya yote Kama gesi tunauziwa Bei ghari kiasi hiki
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,342 Reaction score 13,745 Oct 23, 2025 #25 Atropine said: Gas ya wanamtandao hiyo. Raia hatuna chetu kwenye Nchi yetu. Click to expand... Wanamtanfao wakivamia tu, tumekwisha
Atropine said: Gas ya wanamtandao hiyo. Raia hatuna chetu kwenye Nchi yetu. Click to expand... Wanamtanfao wakivamia tu, tumekwisha
Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,994 Reaction score 4,446 Oct 23, 2025 #26 Tayari ushapatkana ulaji mwingne N mwendo wa kupiga mnada tu
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,877 Reaction score 4,332 Oct 23, 2025 #27 Killing machine said: Sioni faida za haya yote Kama gesi tunauziwa Bei ghari kiasi hiki Click to expand... Gesi unayotumia kupikia unayouziwa ghali na hii ya Mtwara ni vitu viwili tofauti..
Killing machine said: Sioni faida za haya yote Kama gesi tunauziwa Bei ghari kiasi hiki Click to expand... Gesi unayotumia kupikia unayouziwa ghali na hii ya Mtwara ni vitu viwili tofauti..