Tanzania yatia kiberiti vifaranga 6,400 kutoka Kenya

Tanzania yatia kiberiti vifaranga 6,400 kutoka Kenya

Issue ya kuvichoma kisa ukiukwaji wa sheria hapo mpo sahihi, lakini hasira ya kuvichoma vikiwa hai bila huruma inadhihirisha chuki fulani, bora hata mngevilisha sumu vife kwanza.
Mumekua na vituko vya kiajabu kwa siku za hivi majuzi, mara ng'ombe wote wa Wamaasai mkataifisha kisa wametokea Kenya. Ilhali wale jamii wa hapo mpakani ni kabila moja na ndugu hata kabla mzungu hajaja kuwachorea mpaka, kuna ng'ombe wengi hutokea Tanzania na kuja Kenya pia. Badala ya kutafuta jinsi ya kurekebisha, mkajitoa ufahamu na kutaifisha wote tena kwa hasira kali.

Hamna sehemu nimeeneza uchochezi, labda utakua hujui maana ya hilo neno, nimetoa tahadhari kwa Wakenya wote walinde amani tuliyo nayo, maana matukio ya hizo hasira zenu ni wazi kwamba tukijiingiza kwenye machafuko na kuanza kukimbilia kwenu, basi tutakipata.

Ujumbe huo nimelenga Wakenya wote bila kujali chama au itikadi, sasa sijui Sammuel999 umemtag wa nini kana kwamba yeye ndiye anaharibu amani. Mimi nawalenga Wakenya wote, awe Jubilee au NASA au chochote kingine wanachojiita, lazima tuzingatie amani. Hizi sio zama ambazo nchi majirani walikua wanapokea wakimbizi kiulaini, mambo yameharibika, kwanza sisi Wakenya huwa tumesubiriwa sana siku tuwe wakimbizi, ndio tutakoma.

Jifunze kufuatilia habari kabla ya kuanza kutoa povu. Kuna ng'ombe wengi wa kutokea Uganda na Rwanda wametaifishwa Kagera, unasemaje hapo?

MICHUZI BLOG: SERIKALI YATAIFISHA NG’OMBE 6648 MISENYI KAGERA
 
Sheria ya mwaka 2007 inakataza uingizaji wa ndege na mayai yake katika mipaka ya nchi kwa ajili ya kuzuia maambukizi yeyote hivyo usijiskie tu kupayuka kuwa mnaonewa
 
Damn, anayetaka Kuingiza vifaranga au kufanya biashara na Kenya afanye hivyo kiharali. Na kati za kufanya biashara za magendo zimeisha. Fuata taratibu zinazotakiwa, vifaranga wako watasalimika.
 
Ndio mwendo wa Afrika Mashariki, mbele kwa mbele hehehehe hadi raha aisei.....

Hongera Wabongo....

Wakenya ambao kutwa mnataka tupigane ndani ya nchi hii muna cha kujifunza hapa, hamna pa kukimbilia, tumezungukwa na majirani waliojawa chuki balaa, tusipoijenga nchi yetu na kuwa wazalendo, tutanyooshwa mpaka basi.

Tutie bidii na kukuza uchumi wetu na kufanya yetu ya ndani, nina uhakika kuanzia hapo tutajua umuhimu wa kuzingatia amani na kuishi kama ndugu ndani ya nchi yetu. Huko nje kuna fisi wanatusubiri balaa.

Source
Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti

TSPCA (cruelty to animals/ukatili kwa wanyama) wako wapi?! Wajitokeze tafadhali.
 
That is what happens when you elect a retard for a president, the whole nation lowers its consciousness to his level
 
Likely hivyo vifaranga vilikua na viji elements vya Tribalism...
 
Back
Top Bottom