Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mkeo tu humwamini, utawaaminije washindani wako kisiasa mkuu?Hii awamu kwa uongo hata siwaamini haya makusanyo hayana uhalisia.
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Mungu wa kwetu sote by LavalavaMaisha ni mzunguko, leo unacho, Kesho huna, Stashangaa siku moja Taifa kutoka Africa likitoa Misaada nchi za ulaya na Marekani!
Mungu si wawazungu pekee
Umelewa bila shaka.shule kichwani huna.hujui chochote kuhusu uchumi wa dunia.Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Kuna tofauti Kati ya ujinga na upumbavu, wewe unaangukia sehemu ya 2.Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Mbona nakuamini Sana Mke wangu.Mkeo tu humwamini, utawaaminije washindani wako kisiasa mkuu?
Haha is this a joke? no disrespect kwa nchi yangu. But this is trash in many ways. America walisha hitaji msaada wowote kutoka tz? walishawahi kuomba msaada wowote?Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Ndoto ya mwendawazimuMaisha ni mzunguko, leo unacho, Kesho huna, Stashangaa siku moja Taifa kutoka Africa likitoa Misaada nchi za ulaya na Marekani!
Mungu si wawazungu pekee
We binafsi hujiamni leo uje kuamini watu engine ..is it comingHii awamu kwa uongo hata siwaamini haya makusanyo hayana uhalisia.
Ita come vipi wakati umevaa nguo?We binafsi hujiamni leo uje kuamini watu engine ..is it coming
Sina hakika jibu lako hili kama umejipa hata sekinde mbili za kufikiri ndipo ukaniquoteNdoto ya mwendawazimu
Labda msaada wa malimao na tangawiziKatika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...