"Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

"Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Nonesense
 
Kuna mijitu inasubiri chanjo ya Corona kutokwa Wazungu wakati chanjo yetu imeonesha mafanikio ya 101%

Nyungu si chanjo mujarab ya Corona…au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hivi karibuni Marekani wametoa $ 900 bn kuwasaiadia watu Wao walioathirika kiuchuni tokana na ugonjwa wa corona, Sawa na makusanyo ya tra kwa Milka 10. Sasa Marekani waje kuomba msaada gain toka hapa Tanzania ? Hata hivyo hakuna sheria inayozuia kuota.
 
tunauongozi mbovu haijawahi tokea..yani mi nikiangalia tz kuinuka ni very easy sijui wanakwama wapi maskini.. yan ukiwaangalia unawonea huruma kujitwisha mi vitu ambayo hawawezi...anyway they can still think namna gan ya kupunguza ukubwa wa administration kwanza hela yote inaishia kwa gov. expenditure [emoji23][emoji23]
 
Kuna mijitu inasubiri chanjo ya Corona kutokwa Wazungu wakati chanjo yetu imeonesha mafanikio ya 101%

Nyungu si chanjo mujarab ya Corona…au nasema uongo ndugu zangu?

Shida yetu waafrika tunaoishi Africa hatukubali amali zetu. Bila kujikubali uimara na mapungufu yako hutoboiii.
 
Idd Amin Dada alipeleka roli la kabichi mpaka Kampala Airport miaka hiyo UK ilikua na economy crisis na kumsistiza malkia wa uingereza atume ndege ifate kabeji pale anatoa msaada. Malkia Hakupeleka ndege kubeba mzigo wa kabichi🤗.
Tuna uwezo sana kusaidia dona kantri
Jaza fuso 3 za viazi toka Mbeya shusha Airport wambie walete ndege wachukue.
Si msaada jamani au nasema uongo?
 
Sababu makusanyo yameongezeka ni wakati sasa tuanze kuwakopesha wazungu
 
Back
Top Bottom