Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.

30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI

34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.

ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.

100 Best Secondary Schools in Africa 2015
 
mkuu hizo ni shule za serikali au ni watu binafsi mie nilizan ni hizi za st kayumba
 
kwa hizi shule wala serikali haihusiki kwa mafanikio yake, labda kwa kuwa ziko ktk ardhi ya tanzania.
 
Hizo shule hazina assistance yeyote kutoka Wizara ya Elimu ukiondoa kwamba zimesajiliwa na zipo Ardhi ya Tanganyika. Hapo nyuma zilikuwa zikishindana kwa ubora na St. Constantine Arusha. Shule kibao hapa zinaitwa International School lkn ni jina tu kwasababu hata asilimia 5 ya vigezo hazina!
 
Hizi shule sina hata kama wanatumia mitaala ya Tanzania
 
Hizo shule wengi wanaosoma ni foreigner waishio tanzania
 

tafuta kingine kama shida yako nikutaka kuisifia serikali,lakini kwa hili la shule hizi hapana
 
tafuta kingine kama shida yako nikutaka kuisifia serikali,lakini kwa hili la shule hizi hapana

ziko chini ya wizara gani?
Walimu wote ni wazungu?
Zimesajiliwa nchi gani?

Achana na dhambi ya ubaguzi - school of tanganyika wabongo kibao
 
Zimbabwe licha ya uchumi wao kudorora bado kielimu wapo juu sana. Nyingi ya list shule ni za mashirika ya dini hasa makanisa. Hongereni sana
 
Mkuu R.B umewahi kufika moja wapo ya shule hizo?

Unadhani ukiachilia kuwa ziko kwenye ardhi ya Tanzania zina "Utanzania"??

Nimebahatika kufika ISM Arusha....No one should tell you rafiki
 
Last edited by a moderator:
aiseee babayangu mbona st mary na st matthew sizion au pengine wamekosea kuziweka
 
Kahesabu watanzania wanaosoma hapo ukipata wachache mno hesabu waafrika waliopo hizo shule.Hizo ni internationa kwa kumaanisha na zipo toka nyerere alivvyokuwa madarakani hata wakaguzi wenu hawaendi huko.hakuna fimbo.walimu wanafundisha wawiliwawili .mtaala na mitihani yao ya kimataifa .huko ni democrasia kwa kwenda mbele mwalimu huwezi rap mbele ya watoto ni mwendo wa rsta na mimiskirts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…