Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

Za kata ndo shule za wananchi wa kawaida huko kuinternational mbona ni kwa vigogo na wakuja 2 ambao mda wowote c wenzetu,kaangalie mitaala inayotumika huko na hii ya kwetu.
 
Hii hata haina faida mosi ni shule yenye umiliki binafsi pili ni ya matajiri ili mwanao asome hapo ni lazima uwe mwizi kama chenge au mla rushwa mkubwa ada yake kwa miaka 2 unasoma degree udsm bila matatizo kwa miaka 3 na change inabaki

Tulia mwana.ADA YAKE SI YA MIAKA MIWILI KWAMBA UNASOMA DEGREE NA KUMALIZA, ADA YA MWAKA 1 IST NI ZAIDI YA 14 ML.ADA YA UNDERGRADUATE VYUO VYA UMMA NI 1.5M.HVYO UNAWEZA SOMA HADI UKASUBMITT PAPER MASTERS KWA ADA YA MWAKA MMOJA TU KAMA NI ADA TU.
 
This list is irrelevant and has been critisized by various stakeholders in various countries. Wanasema baadhi ya shule kwenye list wanazijua na hazistahili kuwepo.
 
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.

30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI

34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.

ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.

100 Best Secondary Schools in Africa 2015

Athari za kunywa viroba bila kula ndo hizi, sasa hapo Tanzania imechangia nini kama serikali? Hizo shule za wenye nazo.
Ungesema Pugu boys, Zanaki au Azania etc, ndo zimeingia kwenye hiyo orodha ungeonekana unazo kichwani.
 
Labda tuwasaidie wanaokaa mikoani,Int school of Tanganyika wamejaa watoto wa kibalozi Marekani,UK N.K ada ni zaidi ya milioni 30 kwa mwaka moja wa masomo! Nimekuwa nafunga mitambo ya mawasiliano katika shule hii hapa Msasani/Masaki!
 
Athari za kunywa viroba bila kula ndo hizi, sasa hapo Tanzania imechangia nini kama serikali? Hizo shule za wenye nazo.
Ungesema Pugu boys, Zanaki au Azania etc, ndo zimeingia kwenye hiyo orodha ungeonekana unazo kichwani.

Hahahahahah aisee umempa makavu laivu!
 
Uzi haunihusu. Nchi tunayoambiwa bungeni haina mtaala wa elimu itatoaje shule bora? Wizara ya elimu wala haijui kinachofundishwa kwenye hizo international schools zilizotajwa. Mwanafunzi anayemaliza hapo anaruka kwenda Havard. Wengi si Watanzania. Akiwepo Mtz basi ni yule wa mzazi wa ESCROW.
 
Back
Top Bottom