milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,063
Za kata ndo shule za wananchi wa kawaida huko kuinternational mbona ni kwa vigogo na wakuja 2 ambao mda wowote c wenzetu,kaangalie mitaala inayotumika huko na hii ya kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama shule ni international na mitaala lazima iwe na kauinternational kidogo. Sio mitaala ya Tz isiyo na mbele wala nyuma[/QU
OTE]
Tanganyika ipo Masaki baba?
Hii hata haina faida mosi ni shule yenye umiliki binafsi pili ni ya matajiri ili mwanao asome hapo ni lazima uwe mwizi kama chenge au mla rushwa mkubwa ada yake kwa miaka 2 unasoma degree udsm bila matatizo kwa miaka 3 na change inabaki
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.
30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI
34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.
ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.
100 Best Secondary Schools in Africa 2015
Kama shule ni international na mitaala lazima iwe na kauinternational kidogo. Sio mitaala ya Tz isiyo na mbele wala nyuma[/QU
OTE]
Tanganyika ipo Masaki baba?
Yah ipo masaki.
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.
30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI
34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.
ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.
100 Best Secondary Schools in Africa 2015
Athari za kunywa viroba bila kula ndo hizi, sasa hapo Tanzania imechangia nini kama serikali? Hizo shule za wenye nazo.
Ungesema Pugu boys, Zanaki au Azania etc, ndo zimeingia kwenye hiyo orodha ungeonekana unazo kichwani.
Kwa sisi tuliosoma kantalamba huko sijui tuko nafasi ya ngapi.
Angalia hapo afu rudi tena