Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
title yako haijakaa vizuri mdau, hizo shule zote hapo zinatumia cambridge syllabus. Huwezi kulinganisha na shule zingine, international school moshi kipindi hicho old moshi tulikuwa tunawakimbiza vibaya mno.!! Pamoja na kuwa mitihani ilitungwa na walimu wao. Pia kuna baadhi ya walimu wa physics & maths walikua wakiazimwa kutoka old moshi, watoto wasipofanya vizuri ktk mitihani yao,mwalimu anaulizwa ni kwa nn wamefeli?? Wazungu wametuwahi ktk mambo mengi sana, kila kitu kwao ni bora kwa waafrika lakini hizo shule ni za kawaida tu.
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.
30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI
34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.
ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.
100 Best Secondary Schools in Africa 2015
hii hata haina faida mosi ni shule yenye umiliki binafsi pili ni ya matajiri ili mwanao asome hapo ni lazima uwe mwizi kama chenge au mla rushwa mkubwa ada yake kwa miaka 2 unasoma degree udsm bila matatizo kwa miaka 3 na change inabaki
Angalia hapo afu rudi tenatusaidi contribution zao ziko vipi. Sio kujadili tu. Bila evidence. Mi najua ziko cheap . Tatizo nafasi
tatizo lako umesoma st. kayumba, chuo ukaenda UDOM, huwezi kuelewa haya mambo. hizo shule hazipo chini ya mamlaka yoyote ya Tanzania. wahusika hawa hapa; International Baccalaureateziko chini ya wizara gani?
Walimu wote ni wazungu?
Zimesajiliwa nchi gani?
Achana na dhambi ya ubaguzi - school of tanganyika wabongo kibao
tatizo lako umesoma st. Kayumba, chuo ukaenda udom, huwezi kuelewa haya mambo. Hizo shule hazipo chini ya mamlaka yoyote ya tanzania. Wahusika hawa hapa; international baccalaureate
Zimbabwe licha ya uchumi wao kudorora bado kielimu wapo juu sana. Nyingi ya list shule ni za mashirika ya dini hasa makanisa. Hongereni sana
tatizo lako umesoma st. Kayumba, chuo ukaenda udom, huwezi kuelewa haya mambo. Hizo shule hazipo chini ya mamlaka yoyote ya tanzania. Wahusika hawa hapa; international baccalaureate
hahaha! hamna mtu anakaa mahali asifuate sheria. zile shule ni sawa na uwekezaji wa hoteli, migodi, au chochote kifananacho na FDI. wanachopewa ni idhini ya kufanya shughuli nchini.unachoongelea akina tofauti na seminary au madrsa . Lazima kuna org ina control lakini sinafuata taratibu za nchi na katiba kama sheria mama
aliyeuliza alitaka kujua zipo chini ya nani. zilie ni kama kampuni tu; zitalipa kodi, zitafuata sheria zote na taratibu za nchi.aziombi usajili ; na aziangalii mazingira ya nchi husika?
Tunaongea ni walimu by proff
Tlianzishe wa shule zetu zenye misingi ya Mugabe Pr School na Mapambano Pr School , halafu unaishia Mwenge Sec School.mkuu hizo ni shule za serikali au ni watu binafsi mie nilizan ni hizi za st kayumba
Angalia hapo afu rudi tena
Duh! Mzee hizo ada utadhani CIF za magari
1. Grey College South AfricaTANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.
30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI
34 INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA.
ALL THE BEST WIZARA YA ELIMU.
100 Best Secondary Schools in Africa 2015