Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora


Nimeshapata pa kupeleka mwanangu...ngoja mgao wangu wa "Eskro" uingie kwa akaunti.
Singasinga ameniambia sikuwepo kwenye awamu hii.
Navuta Subra.
 
Hiyo shule ya Tanganyika nayoifaham mimi ipo masaki na aitumii mitaala ya Tz na mitihani awatungiwi na balaza sasa wewe sijui unazungumza nini utumbo na ndizi tu,mimi nilijua labda kuna shule ya kata kama vile kimbiji sec school
 
:A S 11:kantalamba hawajaiweka hat kweny list nadhan
 

Shule zote hizo ni kama sio za kitanzania, ni ukweli elimu yao hasa hiyo moshi ni nzuri sana.
Ila silabasi inayotumiwa si hii ya NECTA!! Sioni hizo shule zinahusiana vipi na necta au wizara ya elimu!!! Wangesema st anna...st marian...feza...shule za vipaji (japo sijajua mpaka leo ni vipaji gani) shule za kata etc zimeingia kwenye 100 bora ningesema sawa...hizo intaneshno ni kama zipo tu..hazihusian na sisi!!!
 
ziko chini ya wizara gani?
Walimu wote ni wazungu?
Zimesajiliwa nchi gani?

Achana na dhambi ya ubaguzi - school of tanganyika wabongo kibao

Tusijipe matumain ambayo hayapo...hizo shule zipo tu hapa ila hazituhusu...madhan ingesema tuinue hizi shule zetu... hasa za kata!!
 

Kwa nini watu wanakuwa malimbukeni na hizi statistics ambazo ni potofu. Kiwango chetu kimeshuka kutokana na serikali kujikita katika wizi wa kuiba fedha za walipa kodi na tumeshindwa kuwahudumia vijana wetu wanapokuwa mashuleni kwa vifaa nk. Serikali imeua shirika la TES wapo wanaokumbuka lilikuwa linafanya nini. Vyuo vya ufundi vilikuwa viwili kama sikosei miaka ya 70's lakini vilikuwa vinafanya kazi sio kwa kubunia bali kwa uhakika. Sasa kuna vyuo vya ufundi kama sikosei 20 na ushee, vijana wanaotoka huko wanaweza kweli kufanya yale yaliyokuwa yanafundishwa wakati ule na uwezo wao. Tuache hizi blah blah za kudanganyana na wachache wanachukua fedha za wafadhili kwa ulaghai.
 
Angalia hapo afu rudi tena

Huyu R.B nahisi hajielewi mkuu!!! 15700*1700 ni 26,690,000 (ada ya chekechea hiyo) alafu anasema ni rahisi!! Au ana undugu na chenge!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbona watu mnatokwa povu bila msngi wowote, mlidhani kupatikane kwenye list hiyo ya top 50 community school wakati kila kukicha elimu ya Tanzania inabakwa!!!!
 
Huyu R.B nahisi hajielewi mkuu!!! 15700*1700 ni 26,690,000 (ada ya chekechea hiyo) alafu anasema ni rahisi!! Au ana undugu na chenge!!

Hiyo ada ya mwaka mmoja tu kindergaten unasoma chuo udsm miaka mitatu na masters hapo hapo
 
Last edited by a moderator:
Kama shule ni international na mitaala lazima iwe na kauinternational kidogo. Sio mitaala ya Tz isiyo na mbele wala nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…