ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
BBC Wamekausha kana kwamba hakuna kitu linaendelea wakati Uingereza imekumbwa na maandamano makubwa ya kibaguzi ambayo yameambatana na uharibifu wa Mali.
Waziri wao Mkuu amekuwa akijiknyaga kanyaga na kutoa vitisho Kwa Waandamanaji huku vurugu Kwa wageni zikizidi kushika Kasi.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Hali hiyo imemlazimu Balozi wa Tanzania Nchini humo kutoa tahadhari ya Usalama Kwa Raia wa Tanzania wanaoishi huko kwani wanaweza kulengwa na makundi ya wenye msimamo mkali hanayopinga Wahamiaji.
My Take
Kwa Sasa Bora kubakia huku huku Africa kuliko kwenda kuishi huko Ulaya ambako maisha yanazidi kuwa magumu.
=====
Chanzo cha picha, Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Maelezo ya picha, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mbelwa Brighton Kairuki
Ubalozi waTanzania nchini Uingereza umewataka Watanzania wote wanaoishi nchini Uingerezakuendelea kuchukua tahadhar kufuatia vurugu zinazoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, imesema taarifa ya ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa hiyo imeendeleakusema kuwa ubalozi utakuwa tayari kuwasaidia iwapo kutatokea na hali yadharura hadi hali iytakaporejea kuwa ya kawaida.
Ubalozi huo umetoabarua pepe na simu za mawasiliano ya dharura kwa Watanzania:
Chanzo cha picha, Ubalozi wa Tanzania/ Uingereza
Waziri wao Mkuu amekuwa akijiknyaga kanyaga na kutoa vitisho Kwa Waandamanaji huku vurugu Kwa wageni zikizidi kushika Kasi.
Pia soma:
Maandamano Makubwa Jijini London
27 July 2024 London, Uingereza MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024 Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson...