Safi. Acha Waingereza wapiganie nchi yao. Nyie endeleeni kuita kuwa ni Ubaguzi huku ni watu wanaopambania nchi yao. Wageni wamejazana Ulaya badala ya kukaa kwa kutulia na kuvuna kilichowapeleka, wao wanakalia kuharibu utamaduni wa maisha ya wenyeji kwa kupeleka utapeli, wizi, unyang'anyi, ujanja ujanja na mambo mengine mengi yasiyofaa.
Wazungu wakilegeza uzi soon Ulaya nzima itakuw akama third world countries. Mpaka panya road watatia mguu. Waendelee kukaza kabis akunusuru wimbi la uhamiaji holela.