Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Wanapeleka wizi wa kura kwenye taifa la Kikristo, Wanatumia mbinu za Tanzania.👇

"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia. Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii mbinu inayofanya kazi Tanzania, hawawezi kufanikiwa kamwe.

Ndugu zangu Watanzania ambao mmekodiwa, tafadhali tokeni katika nchi yetu."- Brian Mundubile. Mgombea Urais kupitia kupitia chama cha upinzani cha NRPUP

Ikumbukwe kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Zambia (ECZ), ilisitisha zoezi la kuhesabu kura baada ya ripoti za vurugu, vitisho na vitendo vya wizi wa kura vilivyo ripotiwa nchini humo.

Brian Mundubile amejitangaza kushinda kiti cha Urais siku ya jana kwa zaidi ya asilimia 50.

Mundubile alitoa kauli hiyo kupitia video aliyoipost kwenye mitandao yake ya kijamii Agosti 12, siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Zambia Agosti 13, 2026, kwa ajili ya kuwachagua Rais, wabunge wa Bunge la Taifa, madiwani na wenyeviti wa mabaraza.

Soma: Zambia yasitisha uhesabuji wa kura kutokana na vurugu

Katika uchaguzi huo wa urais, Rais wa sasa na Mwenyekiti wa chama cha UPND, Hakainde Hichilema, pamoja na mgombea mwenza ambaye pia ni Makamu wa Rais wa sasa, Mutale Nalumango, walikuwa wakitafuta muhula wa pili madarakani.

Looh!

Kumbe Hakainde Hichilema alikuja Tanzania kujifunza mbinu za wizi wa kura kwa kuua raia toka kwa CCM na Samia wao?

Na Samia Suluhu Hassan alienda kujifunza toka kwa Yoel Museven wa Uganda...!!

Muungano wa wafalme wachawi na wauaji wakijaribu kuokoa himaya na tawala zao...

They will never succeed...
 
Anamaanisha, wizi umetamalaki katika uchaguzi kwa vile Tanzania si nchi ya Kikristo
 
Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia.

"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia. Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii mbinu inayofanya kazi Tanzania, hawawezi kufanikiwa kamwe.

Ndugu zangu Watanzania ambao mmekodiwa, tafadhali tokeni katika nchi yetu."- Brian Mundubile. Mgombea Urais kupitia kupitia chama cha upinzani cha NRPUP

Ikumbukwe kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Zambia (ECZ), ilisitisha zoezi la kuhesabu kura baada ya ripoti za vurugu, vitisho na vitendo vya wizi wa kura vilivyo ripotiwa nchini humo.

Brian Mundubile amejitangaza kushinda kiti cha Urais siku ya jana kwa zaidi ya asilimia 50.

View: https://www.facebook.com/reel/2106950783539461
 
1786785357972.png
 
Huyu ajuza wa kizimkazi ameichafua hii nchi mnooo tunaonekana takataka kila mahali
We ndiyo takataka nchi yetu ina heshima kubwa sana ndiyo maana marais wa nchi mbalimbali wamekuwa wakimiminika Tanzania, ww ngedere tuambie mwaka huu tu mpaka sasa ni marais wangapi wamepishana kuja Tanzania? This is great nation acheni siasa za kishamba hazitawasaidia na CCM ni CPC ya China hamuwezi kuitoa madarakani kwa siasa za kishamba km hizo, huyo mgombea nitashangaa sana km wazambia watamchagua.
 
Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia.

"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia. Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii mbinu inayofanya kazi Tanzania, hawawezi kufanikiwa kamwe.

Ndugu zangu Watanzania ambao mmekodiwa, tafadhali tokeni katika nchi yetu."- Brian Mundubile. Mgombea Urais kupitia kupitia chama cha upinzani cha NRPUP

Ikumbukwe kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Zambia (ECZ), ilisitisha zoezi la kuhesabu kura baada ya ripoti za vurugu, vitisho na vitendo vya wizi wa kura vilivyo ripotiwa nchini humo.

Brian Mundubile amejitangaza kushinda kiti cha Urais siku ya jana kwa zaidi ya asilimia 50.

View: https://www.facebook.com/reel/2106950783539461

Huyo mbwa ana chuki na nchi yetu, ila ajue mpumbavu km yeye mpaka hapo ameshafeli urais, hilo jinga halijui hata diplomasia ataharibu uhusiano uliokuwepo siku nyingi ataiua hiyo nchi kiuchumi nchi ambayo bado ni maskini sana
 
We ndiyo takataka nchi yetu ina heshima kubwa sana ndiyo maana marais wa nchi mbalimbali aamekuwa wakimiminika Tanzania, ww ngedere tuambie mwaka huu tu mpaka sasa ni marais wangapi wamepishana kuja Tanzania? This is great nation acheni siasa za kishamba hazitawasaidia na CCM ni CPC ya China hamuwezi kuitoa madarakani kwa siasa za kishamba km hizo, huyo mgombea nitashangaa sana km wazambia watamchagua.
Tuna impression mbaya siku hizi tusijifariji, tunatakiwa tukubali kurudi kwenye misingi na siyo kujitetea na kung'ang'ana. Haisaidii
 
Back
Top Bottom