Tanzania Yatumia Bilioni 23 Kuagiza Maziwa Nje Ya Nchi

Huku nlipo maziwa bwelelee gentleman
Syo kama huko yamefanywa kama anasa
Anyway endelea kunywa maziwa tu

Ova
ming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,
ni vema wananchi kutumumia fursa hii kunywa maziwa ya kutosha.
 
Lakini Tuliambiwa TZ ni ya pili kama sio ya tatu kwa mifugo Afrika. Au ilikuwa ni kuongezana ujinga tu sio kweli
 
Mbona ujinga wetu ni mkubwa sana mkuu.
Yaani Tanzania ni mbumbumbu watupu. Tunaizidi New Zealand mara tatu kwa idadi ya ng'ombe ila wanauza zaidi ya trilioni 70 kwa mwaka kwenye nyama na maziwa.

New Zealand ukiwapa nchi yetu hii, wanauwezo wa kupiga trilioni 210 kwenye ufugaji tu, kabla ya sekta nyingine.
 
Nani anywe maziwa ya bongo wapumbavu mtaani wana-dilute wanayaongezea maji ili kuongeza ujazo. Unanunua maziwa mepesiii yanakosa ubora. Na pia huo ni upungufu wa maziwa sio nyama mana asilimia kubwa ya ng'ombe bongo ni wale wa kienyeji ambao ili kupata lita 10 tu ni mpaka ukamue ng'ombe kama 7 ndo upate lita hizo.
Ng'ombe ambao kunenepa tu ni mpaka ifike masika sasa hayo maziwa ya kutosha yatoke wapi, ng'ombe wa TZ wanatosheleza kwa nyama tu. Ng'ombe kutibiwa ni mpaka aumwe hakuna Cha chanjo wala vipimo. Maziwa yanakamuliwa kwa mikono mtu kabana ndoo kwenye mapaja ndo anakamua halafu utegemee anyweshe TZ mzima. Halafu wale wachunga ng'ombe ni washenzi wanawatia ng'ombe wakiwa machungani aisee, maziwa Bora yatatoka wapi???Walete tu yaje tunywe
 
Watu wanakunywa maji yenye rangi ya maziwa.Bongo Kila kitu ni hovyo hata soft drinks kutwa zipo kwenye jua Kali.
 
ming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,
ni vema wananchi kutumumia fursa hii kunywa maziwa ya kutosha.
Miaka ya 99/2000 tulifanya sana biashara ya maziwa kutoka zimbabwe(super milk) na kuyaleta bongo na yalikuwa yanapendwa sana
Na pia kuna wakati nlikaa sana kitwe, zambia sehemu inaitwa musenga ndani huko kuna mzungu alikuwa anaitwa appollo alikuwa na shamba kubwa na ngmbe wengi wa maziwa
Alikuwa anafuga kitaalam + kuna sehemu maalum ngombe wanakwenda kwa ajili ya malisho,aliajiri wataalam
Kwa siku 1 alikuwa anavuna lita zaidi ya 4000
Najuwa kwa tz na baadhi unaweza kusema asas anajitahidi labda

Ova
 
Ungeipata ile super milk ilikuwa balaa yaani pure maziwa

Ova
Watanzania hata viwanda vyao vya ndani hawana Imani navyo,wako tayali Kununua maziwa toka Kenya,Zambia nk na sio yanayo zalishwa hapa home,maana wanatilia mashaka sana viwanda vya Waarabu na wahindi vya hapa home.

Uko vijijini ndo kabisa hata kufunga mbuzi wa maziwa ni shida kutwa kunywa uji wa chumvi na chai ya rangi.uji ukiwekwa maziwa ujue niwa mtoto au mgonjwa 🙌
 
Watanzania hata viwanda vyao vya ndani hawana Imani navyo,wako tayali Kununua maziwa toka Kenya,Zambia nk na sio yanayo zalishwa hapa home,maana wanatilia mashaka sana viwanda vya Waarabu na wahindi vya hapa home.

Uko vijijini ndo kapesa hata kufunga mbuzi wa maziwa ni shida kutwa kunywa uji wa chumvi na chai ya rangi.uji ukiwekwa maziwa ujue niwa mtoto au mgonjwa 🙌
Tanga fresh alianza vzr badaye akawa anachakachua
Asas naye sijui ubora wake bado upo au

Ova
 
Miaka ya 99/2000 tulifanya sana biashara ya maziwa kutoka zimbabwe(super milk) na kuyaleta bongo na yalikuwa yanapendwa sana
Na pia kuna wakati nlikaa sana kitwe, zambia sehemu inaitwa musenga ndani huko kuna mzungu alikuwa anaitwa appollo alikuwa na shamba kubwa na ngmbe wengi wa maziwa
Alikuwa anafuga kitaalam + kuna sehemu maalum ngombe wanakwenda kwa ajili ya malisho,aliajiri wataalam
Kwa siku 1 alikuwa anavuna lita zaidi ya 4000
Najuwa kwa tz na baadhi unaweza kusema asas anajitahidi labda

Ova
uko sahihi,
ASAS ana uelekeo wa Apollo, licha ya kwamba bado anakusanya kiasi fulani cha maziwa kutoka kwa wafugaji wanaozunguka maeneo ya viwanda vyake.
 
ming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,
ni vema wananchi kutumumia fursa hii kunywa maziwa ya kutosha.
Akili ya kiwaki
 
Back
Top Bottom