ming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,Huku nlipo maziwa bwelelee gentleman
Syo kama huko yamefanywa kama anasa
Anyway endelea kunywa maziwa tu
Ova
Mjitahidi pia kuzalisha maziwa gentlemanming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,
ni vema wananchi kutumumia fursa hii kunywa maziwa ya kutosha.
Ya pili kwa mifugo Afrika, baada ya Ethiopia. Tuna ng'ombe zaidi ya 30M ila tuko wapuuzi kwenye usindikaji viwandani na mbegu bora.Lakini Tuliambiwa TZ ni ya pili kama sio ya tatu kwa mifugo Afrika. Au ilikuwa ni kuongezana ujinga tu sio kweli
Mbona ujinga wetu ni mkubwa sana mkuu.Ya pili kwa mifugo Afrika, baada ya Ethiopia. Tuna ng'ombe zaidi ya 30M ila tuko wapuuzi kwenye usindikaji viwandani na mbegu bora.
Yaani Tanzania ni mbumbumbu watupu. Tunaizidi New Zealand mara tatu kwa idadi ya ng'ombe ila wanauza zaidi ya trilioni 70 kwa mwaka kwenye nyama na maziwa.Mbona ujinga wetu ni mkubwa sana mkuu.
Na mbaya zaidi kiwanda Cha Tanganyika Parks kimekufa na kuwa sehemu ya kanisa,ambapo vijana wanauziwa maji ya upako Ili wapate ajira hopeless kabisa hii nchiYa pili kwa mifugo Afrika, baada ya Ethiopia. Tuna ng'ombe zaidi ya 30M ila tuko wapuuzi kwenye usindikaji viwandani na mbegu bora.
Watu wanakunywa maji yenye rangi ya maziwa.Bongo Kila kitu ni hovyo hata soft drinks kutwa zipo kwenye jua Kali.Nani anywe maziwa ya bongo wapumbavu mtaani wana-dilute wanayaongezea maji ili kuongeza ujazo. Unanunua maziwa mepesiii yanakosa ubora. Na pia huo ni upungufu wa maziwa sio nyama mana asilimia kubwa ya ng'ombe bongo ni wale wa kienyeji ambao ili kupata lita 10 tu ni mpaka ukamue ng'ombe kama 7 ndo upate lita hizo.
Ng'ombe ambao kunenepa tu ni mpaka ifike masika sasa hayo maziwa ya kutosha yatoke wapi, ng'ombe wa TZ wanatosheleza kwa nyama tu. Ng'ombe kutibiwa ni mpaka aumwe hakuna Cha chanjo wala vipimo. Maziwa yanakamuliwa kwa mikono mtu kabana ndoo kwenye mapaja ndo anakamua halafu utegemee anyweshe TZ mzima. Halafu wale wachunga ng'ombe ni washenzi wanawatia ng'ombe wakiwa machungani aisee, maziwa Bora yatatoka wapi???Walete tu yaje tunywe
Miaka ya 99/2000 tulifanya sana biashara ya maziwa kutoka zimbabwe(super milk) na kuyaleta bongo na yalikuwa yanapendwa sanaming"ombe karibu yote ina mimba saivi, majani ya malisho bwerere, maji bwerere na maziwa bwerere,
ni vema wananchi kutumumia fursa hii kunywa maziwa ya kutosha.
Ungeipata ile super milk ilikuwa balaa yaani pure maziwaWatu wanakunywa maji yenye rangi ya maziwa.Bongo Kila kitu ni hovyo hata soft drinks kutwa zipo kwenye jua Kali.
Watanzania hata viwanda vyao vya ndani hawana Imani navyo,wako tayali Kununua maziwa toka Kenya,Zambia nk na sio yanayo zalishwa hapa home,maana wanatilia mashaka sana viwanda vya Waarabu na wahindi vya hapa home.Ungeipata ile super milk ilikuwa balaa yaani pure maziwa
Ova
Tanga fresh alianza vzr badaye akawa anachakachuaWatanzania hata viwanda vyao vya ndani hawana Imani navyo,wako tayali Kununua maziwa toka Kenya,Zambia nk na sio yanayo zalishwa hapa home,maana wanatilia mashaka sana viwanda vya Waarabu na wahindi vya hapa home.
Uko vijijini ndo kapesa hata kufunga mbuzi wa maziwa ni shida kutwa kunywa uji wa chumvi na chai ya rangi.uji ukiwekwa maziwa ujue niwa mtoto au mgonjwa 🙌
Watanzania huanza vema akipata brand na wateja wa uhakika wanaanza ujanja ujanja na hali hii huanza wakiweka urafiki na wanasiasa na watu wa kwenye boardTanga fresh alianza vzr badaye akawa anachakachua
Asas naye sijui ubora wake bado upo au
Ova
uko sahihi,Miaka ya 99/2000 tulifanya sana biashara ya maziwa kutoka zimbabwe(super milk) na kuyaleta bongo na yalikuwa yanapendwa sana
Na pia kuna wakati nlikaa sana kitwe, zambia sehemu inaitwa musenga ndani huko kuna mzungu alikuwa anaitwa appollo alikuwa na shamba kubwa na ngmbe wengi wa maziwa
Alikuwa anafuga kitaalam + kuna sehemu maalum ngombe wanakwenda kwa ajili ya malisho,aliajiri wataalam
Kwa siku 1 alikuwa anavuna lita zaidi ya 4000
Najuwa kwa tz na baadhi unaweza kusema asas anajitahidi labda
Ova
calm down akili kubwa bila point ya maanaAkili ya kiwaki