Kwa hiyo unaona ni sawa gharama hizo kupotelea nje? kwanini wasijengewa eneo jirani na Kihansi?6,000,000,000/(22x365) unapata 747,198. Gharama ya kumtunza vyura 500 kwa siku USA
747,198/500=1494
Sh 1494 ni gharama ya kumtunza chura mmoja kwa siku USA. Mbona ni kama ya kawaida?
Kama wana Uwezo wa kuwajengea eneo jirani lenye vigezo vya UNESCO na hawakufanya hivyo hapo tutalaumu lakini kama hatuna Uwezo huo basi ni sahihi kuwapeleka USAKwa hiyo unaona ni sawa gharama hizo kupotelea nje? kwanini wasijengewa eneo jirani na Kihansi?
Jamani Rais nae kakemea wizi,tena kawaambia wezi ni ma stupid na Wapumbavu tena kasema live kwenye TV! Acheni kumuonea Mama wa Watu bure! Mnataka Mama awatumbuwe wezi alafu mumchukie Kama mlivyomchukia Mwendazake kisa kuyatumbua Mafisadi!!?Vurugu za Simba na Yanga rais yupo mstari wa mbele. Ila hela zinaibwa anajidai kafunga swaumu
😆😆DahSerikali ya CCM serikali ya Mama kwa mujibu WA wale chawa Kulwa Jilala na Lucas mwashambwa na Stroke