Hapana,wale Rwanda ili kushinda walitakiwa washinde magoli 10 mechi ya leoIla c inategemea game ya Rwanda VS Kenya inayoendelea sasa
DaaahTFF iwachukue hawa madada wawakilishe taifa letu katika mechi za wanaume then wanaume ndiyo watuwakilishe kwenye mechi za mademu maana hawa mademu wameonyesha kiwango kikubwa sana na cha kuvutia.