Tanzania Yatwaa Ubingwa wa Soka Wanawake - CECAFA

Tanzania Yatwaa Ubingwa wa Soka Wanawake - CECAFA

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania imetwaa Ubingwa wa Soka kwa Nchi za Africa Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuifunga timu ya soka ya taifa ya Ethiopia kwa magoli 4-1 Mjini Kigali, Rwanda. Kwa Ushindi huo Tanzania imefikisha points 7 baada ya kuifunga Pia Uganda Magoli hayohayo 4-1 na kutoka sare na Kenya ya 1-1. Hapo awali Tanzania ilifungwa na Rwanda 1-0 mechi ya ufunguzi.

IMG_20180728_080556.jpg


Hongera Timu ya Taifa kwa ushindi na Ubingwa huo, mmestahili kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Weka picha za wachezaji..
Uzi bili picha ni sawa na BAVICHA bila gwanda
 
Hongera na pongezi nyingi kwa dada zetu. At last, we have something good from our representatives.
 
Wacheze mechi na kaka zao tuone nani mbabe halafu atakayeshinda itakuwa ndo awe mwakilishi kwenye nyanja hyo
 
TFF iwachukue hawa madada wawakilishe taifa letu katika mechi za wanaume then wanaume ndiyo watuwakilishe kwenye mechi za mademu maana hawa mademu wameonyesha kiwango kikubwa sana na cha kuvutia.
 
Back
Top Bottom