Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Hakuna kitu serikali ya Tanzania itafanya miaka 60 baada ya uhuru kiwe cha kwanza labda kukata umeme mara kwa mara ndio kitu cha kipekee Tanzania inaweza
Mleta uzi mpumbavu sanaDuh mawazo mengine, kabla ya kuandika thread hii umejiuliza ni nchi ngapi zina milima mrefu kama Kilimanjaro ulitaka Burundi iwe ya kwanza kusimika je ina mlima mrefu?
Acha makasiliko broDuh mawazo mengine, kabla ya kuandika thread hii umejiuliza ni nchi ngapi zina milima mrefu kama Kilimanjaro ulitaka Burundi iwe ya kwanza kusimika je ina mlima mrefu?
Internet ipo strong na imeanza kutumika na kama haujui Tanzania inaongoza kwa kuwa na gharama ndogo zaidi ya bandoTunaweza kusimika ikawa haifanyi kazi ikabaki haina maana tena.
Mkongo wa Taifa ilitumika nguvu kubwa tukaambiwa internet itakuwa kasi na itakiwa gharama ndogo mapaka leo bado mateso yaleyale tu.
Umewekwa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu lengo ni kuendelea kuboresha utalii TanzaniaHuo mnara umewekwa na serikali au umewekwa na makampuni ya simu?
Serikali inaendelea kuboresha sekta ya utalii kwaiyo tutegemee mambo makubwa zaidiWaboreshe na sehemu za malazi pia waweke mifumo ya kuchajia
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za utalii ambapo watalii kutoka katika mataifa mbalimbali sasa wanaweza kupata huduma ya internet yenye kasi zaidi.
kutokana na kufanikiwa kuwepo kw ainterneti katika mlima kilimanjaro Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kusimika huduma ya internet katika kilele kirefu zaidi barani afrika.
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuimarisha na kuboresha utalii Tanzania maana utalii ni moja kati ya sekta inayochangia kwa kiasi kikubwa pato la Taifa.
Upumbumbavu gani bro we haupendi kuona nchi yako inaendelea Rais Samia Suluhu anaendelea kufanya mapinduzi sekta ya utaliiUpo sahihi,sa hivi tumekua na kizazi cha ovyo sana,na uwezo wa kufikiri umepungua.kizazi cha kusifia upumbavu
Record imevunjwa mzee saizi tunaperuzi mpaka kileleniTz wakifanya jambo wanapenda kusema wamevunja rekodi ,au ndiyo nchi ya kwanza kuwa na jambo fulani
[emoji1]
Ova