Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Zitto hili amekosea hata kama unapingana na serikali yako sio hivi, Mambo ya ndani ya nchi tujailiane humu ndani,kama unahoja wakilisha sehemu husika,sifa zingine hazina maana,hayo ndo yana mtokea Trump hadi awe impeached kwa sababu za kujijenga yeye kisiasa, nchi siku zote ni muhimu kuliko tofauti zetu za kisiasa,zitto aache siasa za kitoto,vitu vingine ni debatable tu ndani ya nchi yakaisha.
 
Ndugu zangu niwaambie ukweli tena ukweli mtupu nchi yetu ni tajiri sana sisi sio maskini kila siku tunaombaomba tumechokwa tunataka ifike hatuwa wao ndio watuombe tena ikiwezekana na mitumba tuwauzie wao huu ndio ukweli usiopingika sio maneno yangu ya mkulu wenu 🤣🤣🤣
 
Mambo ya ndani ya nchi tujailiane humu ndani,kama unahoja wakilisha sehemu
Huo Uwanja na Uhuru wa kujadiliana humu ndani uko Wapi, yan tufunge safari hadi Chato? no way

Halaf, ni jana tu tumemsikia Mfamaji wa Serikali Hasidi Abunuasi akisema hawajakosa hizo hela, sasa wewe pamoja na Kakilaza kale ka Kongwa mbona mnang'ang'ana kuwa mmenyimwa?

Na Mtukufu Rais John Pombe Joseph Wanzagamba Magufuli si alisema WB wanajua msimamo wake hela watatoa msisumbuliwe na kelele za Vyura??, Au vipi jama ee😀
 
N
Hakuna mtu atakaye kulelea mtoto wako watoto wenu mnawalea katika misingi gan??
Sio Kila anaepata mimba anapendaa mtapambna na Hali yenuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…