uchumi wao ni mkubwa kwenye makaratasi bt kwenye uhalisia zero kabisa, we huwazi nchi yenye uchumi mkubwa kila mwaka inategemea chakula cha msaada sasa huo uchumi mkubwa unakazi gani?Mbona uchumi wa kenya ni mkubwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchumi wao ni mkubwa kwenye makaratasi bt kwenye uhalisia zero kabisa, we huwazi nchi yenye uchumi mkubwa kila mwaka inategemea chakula cha msaada sasa huo uchumi mkubwa unakazi gani?Mbona uchumi wa kenya ni mkubwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenya sisi aridhi yetu ni ya kulima maua ya mabeberu na sio madhao ya nafaka
Cc tunachowazd ni kilimo wao sekta nying wameendelea hata ww pia ni shahiduchumi wao ni mkubwa kwenye makaratasi bt kwenye uhalisia zero kabisa, we huwazi nchi yenye uchumi mkubwa kila mwaka inategemea chakula cha msaada sasa huo uchumi mkubwa unakazi gani?
Secta gani kwa mfano?Cc tunachowazd ni kilimo wao sekta nying wameendelea hata ww pia ni shahid
Gdp babe. We're thrice times your Gdp.TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku pia ikitajwa kuwa na fursa kubwa ya kutawala soko la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kwa kutumia fursa za kilimo cha umwagiliaji.
Mfano umetolewa kwenye zao la mpunga, ambalo kwa sasa uzalishaji wake nchini umefikia tani milioni 2.1, wakati nchi za Kenya, Uganda uzalishaji wa zao hilo ni kati ya tani 100,000 na 200,000 tu.
Akizungumzia fursa hiyo kwa Tanzania wakati wa Maonesho ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi yaliyofanyika kitaifa mkoani Simiyu mapema mwezi huu, Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi na Udhibiti Ubora wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Daniel Manase, alisema maboresho kwenye sekta ya kilimo cha umwagiliaji ndiyo yaliyoleta manufaa hayo.
Alisema baada ya kuundwa NIRC na kuanza kutekeleleza majukumu yake rasmi mwaka 2015, eneo linalomwagiliwa nchini limeongezeka kutoka hekta 461,333 mwaka 2015, hadi kufika hekta 694,715 mwaka huu.
Aidha, alisema skimu za umwagiliaji 2,555 zimesambaa nchi nzimam hivyo kutoa fursa kwa Tanzania kufanya vizuri zaidi kwenye kilimo hicho, huku fursa ya kuteka soko la EAC, SADC na Afrika kwa ujumla ikiwa kubwa endapo mkazo zaidi utawekwa kwenye kilimo hicho.
Akizungumzia kilimo cha umwagiliaji kwa nchi za Afrika Mashariki, Manase alisema Tanzania ikilinganishwa na mataifa mengine, ina fursa kubwa ya kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika Afrika kupitia kilimo cha umwagiliaji.
Alisema kwa mwaka, Tanzania hupata mvua ya wastani wa milimita 950, huku eneo linalolimwa mpunga kwa sasa likiwa hekta milioni 1.23 na eneo lililoendelezwa kwa umwagiliaji likiwa hekta 694,715.
Alisema uzalishaji wa mpunga nchini kwa sasa ni tani milioni 2.01 kwa mwaka, huku tija ikiwa ni tani 1.5 hadi 8.1 kwa hekta.
Alisema Tanzania ina eneo la hekta milioni 29.4zinazofaa kwa kilimo cha umwagiliaji na kati ya hizo, milioni 2.3zina uwezekano mkubwa wa kumwagiliwa, milioni 4.8zina uwezekano wa kati na milioni 22.3zina uwezekano mdogo wa kumwagiliwa.
Manase alisema hivi sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula na ina akiba tani milioni 2.79, ambazo zimetokana na mikakati ya nchi kwenye kilimo kwa kutumia pembejeo bora, kuimarisha mifumo ya kilimo na kutoa fursa ya mikopo ya kilimo bila riba.
Kwa upande wa Kenya, hupata mvua ya wastani wa milimita 500 hadi 2,000 kwa mwaka, huku eneo linalomwagiliwa likiwa hekta 125,000 na jumla ya eneo linalofaa kwa umwagiliaji ni hekta 1.3 na uzalishaji wa mpungua kwa sasa ni wastani wa tani 150,000, huku tija ya uzalishaji wa mpunga kwa sasa ni tani 1.1 hadi 5.2 kwa hekta.
Nchini Uganda, uzalishaji wa mpunga umetajwa kuwa wastani wa tani 215,000, wakati mahitaji ya nafaka hiyo ni tani zaidi ya 230,000, hivyo kuwa na mahitaji ya kuagiza mchele kutoka nje ya nchi hiyo.
Hata hivyo, eneo linalofaa kwa umwagiliaji kwa ujumla nchini Uganda ni hekta milioni 3.03, lakini lililoendelezwa kwa kilimo hicho ni dogo ikilinganishwa na ukubwa uliopo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Chakula Duniani (FAO), kilimo cha umwagiliaji kimechangia kuongeza tija ya uzalishaji na uzalishaji wa mazao mbali mbali katika miongo ya karibuni barani Afrika na na kutaka mkazo uwekwe na nchi hizo kukiendeleza kwa sababu ndio eneo bora zaidi lenye tija ya kweli.
Mafanikio mengini ya kilimo cha umwagiliaji ni kupitia mazao ya mbogamboga, ambapo Meneja Mazingira ya Biashara wa Taasisi Binafsi inayoundwa na wadau wa mnyororo wa thamani wa kilimo cha mbogamboga, matunda na viungo (Taha), Kelvin Remen, amesema kina tija iwapo wakulima wataweka mkazo.
Tanzania yawa kinara uzalishaji nafaka EAC
========
MY TAKE: Hivi kweli kuna mkenya ambaye bado anadhani Kenya inaweza kushindana na Tanzania?
Your logic is skewed. Its like me bragging that Kenya produces 10 times more tea tonnage than Tanzania.TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku pia ikitajwa kuwa na fursa kubwa ya kutawala soko la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kwa kutumia fursa za kilimo cha umwagiliaji.
Mfano umetolewa kwenye zao la mpunga, ambalo kwa sasa uzalishaji wake nchini umefikia tani milioni 2.1, wakati nchi za Kenya, Uganda uzalishaji wa zao hilo ni kati ya tani 100,000 na 200,000 tu.
Akizungumzia fursa hiyo kwa Tanzania wakati wa Maonesho ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi yaliyofanyika kitaifa mkoani Simiyu mapema mwezi huu, Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi na Udhibiti Ubora wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Daniel Manase, alisema maboresho kwenye sekta ya kilimo cha umwagiliaji ndiyo yaliyoleta manufaa hayo.
Alisema baada ya kuundwa NIRC na kuanza kutekeleleza majukumu yake rasmi mwaka 2015, eneo linalomwagiliwa nchini limeongezeka kutoka hekta 461,333 mwaka 2015, hadi kufika hekta 694,715 mwaka huu.
Aidha, alisema skimu za umwagiliaji 2,555 zimesambaa nchi nzimam hivyo kutoa fursa kwa Tanzania kufanya vizuri zaidi kwenye kilimo hicho, huku fursa ya kuteka soko la EAC, SADC na Afrika kwa ujumla ikiwa kubwa endapo mkazo zaidi utawekwa kwenye kilimo hicho.
Akizungumzia kilimo cha umwagiliaji kwa nchi za Afrika Mashariki, Manase alisema Tanzania ikilinganishwa na mataifa mengine, ina fursa kubwa ya kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika Afrika kupitia kilimo cha umwagiliaji.
Alisema kwa mwaka, Tanzania hupata mvua ya wastani wa milimita 950, huku eneo linalolimwa mpunga kwa sasa likiwa hekta milioni 1.23 na eneo lililoendelezwa kwa umwagiliaji likiwa hekta 694,715.
Alisema uzalishaji wa mpunga nchini kwa sasa ni tani milioni 2.01 kwa mwaka, huku tija ikiwa ni tani 1.5 hadi 8.1 kwa hekta.
Alisema Tanzania ina eneo la hekta milioni 29.4zinazofaa kwa kilimo cha umwagiliaji na kati ya hizo, milioni 2.3zina uwezekano mkubwa wa kumwagiliwa, milioni 4.8zina uwezekano wa kati na milioni 22.3zina uwezekano mdogo wa kumwagiliwa.
Manase alisema hivi sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula na ina akiba tani milioni 2.79, ambazo zimetokana na mikakati ya nchi kwenye kilimo kwa kutumia pembejeo bora, kuimarisha mifumo ya kilimo na kutoa fursa ya mikopo ya kilimo bila riba.
Kwa upande wa Kenya, hupata mvua ya wastani wa milimita 500 hadi 2,000 kwa mwaka, huku eneo linalomwagiliwa likiwa hekta 125,000 na jumla ya eneo linalofaa kwa umwagiliaji ni hekta 1.3 na uzalishaji wa mpungua kwa sasa ni wastani wa tani 150,000, huku tija ya uzalishaji wa mpunga kwa sasa ni tani 1.1 hadi 5.2 kwa hekta.
Nchini Uganda, uzalishaji wa mpunga umetajwa kuwa wastani wa tani 215,000, wakati mahitaji ya nafaka hiyo ni tani zaidi ya 230,000, hivyo kuwa na mahitaji ya kuagiza mchele kutoka nje ya nchi hiyo.
Hata hivyo, eneo linalofaa kwa umwagiliaji kwa ujumla nchini Uganda ni hekta milioni 3.03, lakini lililoendelezwa kwa kilimo hicho ni dogo ikilinganishwa na ukubwa uliopo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Chakula Duniani (FAO), kilimo cha umwagiliaji kimechangia kuongeza tija ya uzalishaji na uzalishaji wa mazao mbali mbali katika miongo ya karibuni barani Afrika na na kutaka mkazo uwekwe na nchi hizo kukiendeleza kwa sababu ndio eneo bora zaidi lenye tija ya kweli.
Mafanikio mengini ya kilimo cha umwagiliaji ni kupitia mazao ya mbogamboga, ambapo Meneja Mazingira ya Biashara wa Taasisi Binafsi inayoundwa na wadau wa mnyororo wa thamani wa kilimo cha mbogamboga, matunda na viungo (Taha), Kelvin Remen, amesema kina tija iwapo wakulima wataweka mkazo.
Tanzania yawa kinara uzalishaji nafaka EAC
========
MY TAKE: Hivi kweli kuna mkenya ambaye bado anadhani Kenya inaweza kushindana na Tanzania?
Unasema uongo. Kenya haiwezi produce tea 10x Tanzania.Your logic is skewed. Its like me bragging that Kenya produces 10 times more tea tonnage than Tanzania.
Every country has its own comparative advantage. We cannot all be good at producing the same thing.....It actually would be stupid for Kenya Tanzania and Uganda to have the same level of production of lets say rice.
We will all not have a market to sell to. If you really must brag, then compare the total agricultural outputs of the three countries.
Hahahaha, that's why we always doubt your reasoning capacity, you have to differentiate between Cash crops and food production, it is insane for a country to neglect food production and concentrate with cash crops which doesn't produce enough money to buy enough food to feed it's people like Kenya.Your logic is skewed. Its like me bragging that Kenya produces 10 times more tea tonnage than Tanzania.
Every country has its own comparative advantage. We cannot all be good at producing the same thing.....It actually would be stupid for Kenya Tanzania and Uganda to have the same level of production of lets say rice.
We will all not have a market to sell to. If you really must brag, then compare the total agricultural outputs of the three countries.
Wanatapatapa haoUnasema uongo. Kenya haiwezi produce tea 10x Tanzania.
Give us references.
Boss at the end of the day cash is King..........even that rice you are talking about will still be sold for cash or you guys still do barter trade🙄🙄🙄🙄.Hahahaha, that's why we always doubt your reasoning capacity, you have to differentiate between Cash crops and food production, it is insane for a country to neglect food production and concentrate with cash crops which doesn't produce enough money to buy enough food to feed it's people like Kenya.
Hapo tunazungumzia kilimo cha umwagiliaji hatuzungumzii ardhi yenye rutuba, Kenya ardhi yenye kufaa kwa kilimo cha umwagiliaji ni zaidi ya hekta 1.3M, lakini hadi sasa mnamwagilia hekta 150,000 pekee wakati Tanzania tunamwagilia 680,000 regardless ya mazao [emoji23][emoji23][emoji23].compare the size of arable land in Kenya and TZ, you should not even be comparing the 2 nations in agricultural output..
lakini Kenya inapata pesa nyingi kutokana na kilimo ukilinganisha na TZ,UG,RW, South Sudan...
Ni aibu kubwa... sasa mpunga ndiyo mnatoa machozi nao hapa... ?
Kwanza tukubaliane kwamba, Tanzania imeendelea sana katika kilimo cha umwagiliaji kuliko Kenya, kwamba Kenya eneo lililojengewa infrastructure za irrigation ni hekta 680,000, wakati Kenya ni 150,000.Boss at the end of the day cash is King..........even that rice you are talking about will still be sold for cash or you guys still do barter trade[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].