Tanzania yaziburuza Kenya na Uganda katika kilimo cha umwagiliaji, yazilisha mchele mara sita zaidi ya Kenya

Mbona uchumi wa kenya ni mkubwa sasa
uchumi wao ni mkubwa kwenye makaratasi bt kwenye uhalisia zero kabisa, we huwazi nchi yenye uchumi mkubwa kila mwaka inategemea chakula cha msaada sasa huo uchumi mkubwa unakazi gani?
 
uchumi wao ni mkubwa kwenye makaratasi bt kwenye uhalisia zero kabisa, we huwazi nchi yenye uchumi mkubwa kila mwaka inategemea chakula cha msaada sasa huo uchumi mkubwa unakazi gani?
Cc tunachowazd ni kilimo wao sekta nying wameendelea hata ww pia ni shahid
 
Gdp babe. We're thrice times your Gdp.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Your logic is skewed. Its like me bragging that Kenya produces 10 times more tea tonnage than Tanzania.

Every country has its own comparative advantage. We cannot all be good at producing the same thing.....It actually would be stupid for Kenya Tanzania and Uganda to have the same level of production of lets say rice.

We will all not have a market to sell to. If you really must brag, then compare the total agricultural outputs of the three countries.
 
Unasema uongo. Kenya haiwezi produce tea 10x Tanzania.
Give us references.
 
Hahahaha, that's why we always doubt your reasoning capacity, you have to differentiate between Cash crops and food production, it is insane for a country to neglect food production and concentrate with cash crops which doesn't produce enough money to buy enough food to feed it's people like Kenya.
 
compare the size of arable land in Kenya and TZ, you should not even be comparing the 2 nations in agricultural output..

lakini Kenya inapata pesa nyingi kutokana na kilimo ukilinganisha na TZ,UG,RW, South Sudan...

Ni aibu kubwa... sasa mpunga ndiyo mnatoa machozi nao hapa... ?
 
Boss at the end of the day cash is King..........even that rice you are talking about will still be sold for cash or you guys still do barter trade๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„.
 
Hapo tunazungumzia kilimo cha umwagiliaji hatuzungumzii ardhi yenye rutuba, Kenya ardhi yenye kufaa kwa kilimo cha umwagiliaji ni zaidi ya hekta 1.3M, lakini hadi sasa mnamwagilia hekta 150,000 pekee wakati Tanzania tunamwagilia 680,000 regardless ya mazao [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Boss at the end of the day cash is King..........even that rice you are talking about will still be sold for cash or you guys still do barter trade[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].
Kwanza tukubaliane kwamba, Tanzania imeendelea sana katika kilimo cha umwagiliaji kuliko Kenya, kwamba Kenya eneo lililojengewa infrastructure za irrigation ni hekta 680,000, wakati Kenya ni 150,000.

Katika hali ya kawaida nchi ambayo haina ardhi kubwa yenye rutuba, ndio ilipaswa iwekeze zaidi katika kujenga mifumo ya umwagiliaji kama zilivyo Egypt na Israel, sasa ninyi pamoja na kuwa na ardhi ndogo yenye rutuba, hata irrigation infrastructure pia hamna, this is the reason why you die of hunger year in year out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya hawana food security,watakuambia nchi yao jangwa ni waongo wakubwa kule ambapo ni semiarid wala hawakai watu wengi, Mipango mibovu =Matokeo mabovu (garbage in=Garbage out)Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ