yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Tanzania ni Taifa la "ZUIA, PIGA MARUFUKU, DHIBITI, Hakuna mwenye maono ya kuweka mazingira sahihi kwa watu KUPIGA HATUA, Tena ukikutwa unajikakamua kupiga HATUA unapigwa "MTAMA" huo BALAA !TZ ingekua inatoa favor kwa wawekezaji wazawa hasa vijana ambao wanaanza hakika nchi ingekua sana uchumi wake,
Tatizo sheria na kanuni bado zinaweka wigo hata kwa wazawa hasa wajasiriamali vijana wanaochipukia....kuwafikia wakenya msahau.
Tanzania ni Taifa la "ZUIA, PIGA MARUFUKU, DHIBITI, Hakuna mwenye maono ya kuweka mazingira sahihi kwa watu KUPIGA HATUA, Tena ukikutwa unajikakamua kupiga HATUA unapigwa "MTAMA" huo BALAA !