Tanzania yazidi kung'ara katika kuvutia wawekezaji

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
1,581
Reaction score
1,318
The latest Deloitte African PE Confidence Survey indicates that investors interest in TZ has increased from 52% in 2016 to 67% in 2017. This is good news
DXoJ0xgXUAM4cll.jpg:large
 
TZ ingekua inatoa favor kwa wawekezaji wazawa hasa vijana ambao wanaanza hakika nchi ingekua sana uchumi wake,

Tatizo sheria na kanuni bado zinaweka wigo hata kwa wazawa hasa wajasiriamali vijana wanaochipukia....kuwafikia wakenya msahau.
 
Tanzania ni Taifa la "ZUIA, PIGA MARUFUKU, DHIBITI, Hakuna mwenye maono ya kuweka mazingira sahihi kwa watu KUPIGA HATUA, Tena ukikutwa unajikakamua kupiga HATUA unapigwa "MTAMA" huo BALAA !
 
Inakatisha sana tamaaa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom