Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.

MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona sasa Kaka kaamua hasa kumkanya mdogo wake tunatoa kipigo Kwa awamu wakifanya jeuri tunaongeza ila sasa hii inaitwa tunakata mirija yote
 
Ila hiki kipigo kitakatifu
 
Kuna fidai watapewa kwa hasara watakayopata kutokana na hili agizo?
 
Hii yote ni mikutano ya lissu kutangazwa/kurushwa na television ya kenya pamoja na bomba la mafuta kupitishwa huko
 
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
 
Kisa Ni wakenya kumchangia damu Lisu? Nao hao watakuwa mabeberu!
 
hawamjui Magufuli hapo anawalia mingo ngoja waendeleze hili saga, next all Kenyan banks in Tanzania will be shut down! inabidi Commercial Bank of Africa ianze kwanza maana Kunyatta ana shares huko!
And who will loose? How many Tanzanians are employed by these banks? Kweli ujinga ni mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…