Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
You are not informed! Cool down! TZ we are smarter than anyone in EA!
 
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Unakumbuka "Coalition of the willing ?", unakumbuka mkataba wa EPA?, unakumbuka bomba la mafuta la Uganda?, naomba utaje maeneo matatu ambayo Kenya iliibwaga Tanzania
 
Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.

Hawa hapa wameanza kujipendekeza...sasa mjinga nani?

MY TAKE
Trick za kitoto sana...Our demands r pretty simple!
  1. No Air tanzania to Kenya's Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kisumu no any airline from Kunyaland to be allowed to land in Tanzania!
  2. No free movement of tanzanians in Kunyaland no any airline from Kunyaland is to be allowed to land in Tanzania

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
We ndo utabusu kalio zao, hivi we unadhani wamekurupuka tu. Kuchukua hatua lazma ufanye tathmini ya economic impact na kama sio kubwa then ujue lazma tuwapge spana. Pia geographically speaking Tz iko position nzuri na wageni wengi wa kitalii wakenya asilimia kubwa ni wanakuja Tz. We will pin them to the smollest size their balls have never contracted subiri, hii ni vita ya uchumi covid-19 life will never be the same again n to be normal will take even longer with this economic muscle confusion.
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
 
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.

MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakomesha na precision air, dah Magu bhn raha sn [emoji3][emoji3][emoji3]
 
hawamjui Magufuli hapo anawalia mingo ngoja waendeleze hili saga, next all Kenyan banks in Tanzania will be shut down! inabidi Commercial Bank of Africa ianze kwanza maana Kunyatta ana shares huko!
Mkuu hili jambo lako litapitishwa tu cz tupo nao humu na wanaona na wanayafanyia kazi hawajawahi kutuangusha [emoji3][emoji3]
 
Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
We jamaa kaa pembeni hii mada ni nzito kwako kuielewa, hawa ni watanzania wapya wanaojibu mapigo ya vita vya kiuchumi dhidi ya nchi iliyokuwa ikitupiga vita vya kiuchumi miaka mingi.
 
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.

MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Source please, siyo nioneshe hisia zangu kumbe fake news
 
Back
Top Bottom