You are not informed! Cool down! TZ we are smarter than anyone in EA!Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!