Tanzania yetu hii

F-FAITH

New Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hellow, Jamani Nauliza hivi ina kuwaje Serilali yetu inakuwa haifuatilii vitu mapema na inapotokea shida ndo inajifanya kufuatilia na kuunda tume....mfano yule mwanajeshi aliyepiga picha na Lema...hali kuwa wezi wanatuibia rasilimali zetu za utalii na hawakamatwi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…