Tanzania yetu ni moja!... Karibuni sana kitoweo jamani!

Tanzania yetu ni moja!... Karibuni sana kitoweo jamani!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
1377279_586040051454330_1101630922_n.jpg

karibuni sana wadau!

chakula chetu hiki!
 
Hali ya nchi imefikia kiwango!! Wapo wananchi katika paradisooo...na wapo wananchi katika jahanamooo !! Mungu tuepushe na majangaa.AMIN wakati mgumuu huu.
 
Hali ya nchi imefikia kiwango!! Wapo wananchi katika paradisooo...na wapo wananchi katika jahanamooo !! Mungu tuepushe na majangaa.AMIN wakati mgumuu huu.

mkuu, naona kama ume-escape one vile kutoka kwenye mada...! au sijaelewa vidhuri?!!
 
mkuu hii haiuzwi bana...

its family consumption issue.. hahahaaaa.. ingeuzwa mabuchani ingekuwa noma sana!

Unajua maisha bhana ni kama sijui niitaje...inabidi tutest almost kila kitu kabla hatujafa
 
but vingine mkuu nasikia wanaitaga ni haramu!!

sasa sijui na dini yetu inatuamuruje kuhusu hii kitu?

Bro dini zimeletwa na wazungu/waarabu ukitaka muongozo wa dini kwa kila jambo maisha hayataenda maana utajikuta nawe ni mwanaharamu....
 
Ndo kutuonesha hayo ma-mbwa?

Kutiana kichefchef

heri ungesema kichefchef kuliko kusema upuuzi!

samahani kwa kutiwa kichefchef na hiyo pic mrembo!

but understand others... its their right to do it.. kuwa na tolerance tafadhali!
 
Back
Top Bottom