Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza kupiga kelele kwa tunachokipenda kila mtu atachukia.