Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Ziba maskio ulaleJamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza kupiga kelele kwa tunachokipenda kila mtu atachukia.
Sasa mwanaume haupendi mpira unapenda nn rede
kuna uhusiano gani kati ya kuwa na mboo na kupenda Mpira??? Watu wengine mavi kweli kichwani. Either way let me be the first man to say it. I hate Football so mtuachie keleleSasa mwanaume haupendi mpira unapenda nn rede
Watanzania mnasikitisha sana Ngoja nikae kimya tuSa kama unataka kuwa mwanamke si useme tu wahuni tukukamie😁😁😁
Taratibu kwanza.Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza kupiga kelele kwa tunachokipenda kila mtu atachukia.