TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
HahahahaTanzania ipo hiyo, labda Kibera ndio ulikatika.
Kichwa cha Habari: "Tanzania Yote", huoni alikua na nia ovu au kupotisha kwa makusudi?Mwanza ulikata around saa 7 mchana umerudi saa 11 jion
Dar ipi hiyo maana hata sikushuhudia huo umeme kukatika na hizi siku chache nimekua nashinda home tu na sijashuhudia huo umeme kukatika'Regions connected to the national grid' Hivi kuna mkoa haujaunga kwenye grid ya kitaifa, taarifa zinasema Dar ndio kwanza palikua pabaya, sasa Tanzania bila Dar wapi kwengine..... Huko mikoani ukikatika mchana wengi huwa hamna habari maana umeme wenyewe mnautumia tu usiku kwenye mataa.
Hehe hujaskia imepewa jina jipya sasa ni nyerere goji! Tuombe isizame tuuu[emoji16] ....,alf pitia huku mkuu, jamaa kagomea ata kwenda msibani!Hehehe eti stigla goji aje...
Duh kipanya na michoro yake, afu ipo siku Magu alimtaja.Hehe hujaskia imepewa jina jipya sasa ni nyerere goji! Tuombe isizame tuuu[emoji16] ....,alf pitia huku mkuu, jamaa kagomea ata kwenda msibani!View attachment 880815
Aisee tangia JPM Kaingia ikulu nadra sana kusikia sauti ya jenereta, the man means business mtasubili sana.Kuna taarifa mitandaoni kuwa kuna maeneo genereta zinarindima hadi mda huu...dahhh stigla goji njoo tuokoeeee!