Tanzania yote wakatiwa umeme kwa masaa matatu kisa mitambo

Tanzania yote wakatiwa umeme kwa masaa matatu kisa mitambo

Mimi Nipo dar es salaam tena NDANI ya temeke na Sikupata wasaa WA Kwenda kuangalia uzinduzi WA flover ya kwanza tz łakin niliangalia mwanzo mwisho kupitia televishen Sasa huo umeme umekatika saa ngap majameni
 
Aibu hii kwa mtu mzima kuzuwa mambo yasio kuwepo.

Tangu lini ukawa mtu wa kulia lia.
Anyway unanilaumu kwa kuleta taarifa so bora mngeificha kama Korea Kaskazini.
 
Sijaona kosa la MK254 hapo. Yeye kaleta taarifa kutoka kwenye gazeti. Kama ni ya uongo au kweli tuseme hapa. Imekuaje tena anashambuliwa yeye.
Jiwe ndo anatufanya tuwe na hasira hivi. Kweli bongo kisiwa cha amani.😈
 
86054311-5360-47AD-83EF-C41006491172.jpeg
 
'Regions connected to the national grid' Hivi kuna mkoa haujaunga kwenye grid ya kitaifa, taarifa zinasema Dar ndio kwanza palikua pabaya, sasa Tanzania bila Dar wapi kwengine..... Huko mikoani ukikatika mchana wengi huwa hamna habari maana umeme wenyewe mnautumia tu usiku kwenye mataa.
Dar ipi hiyo maana hata sikushuhudia huo umeme kukatika na hizi siku chache nimekua nashinda home tu na sijashuhudia huo umeme kukatika
 
Kuna taarifa mitandaoni kuwa kuna maeneo genereta zinarindima hadi mda huu...dahhh stigla goji njoo tuokoeeee!
 
Hehehe eti stigla goji aje...
Hehe hujaskia imepewa jina jipya sasa ni nyerere goji! Tuombe isizame tuuu[emoji16] ....,alf pitia huku mkuu, jamaa kagomea ata kwenda msibani!
IMG_20180928_095312_900.jpg
 
Kuna taarifa mitandaoni kuwa kuna maeneo genereta zinarindima hadi mda huu...dahhh stigla goji njoo tuokoeeee!
Aisee tangia JPM Kaingia ikulu nadra sana kusikia sauti ya jenereta, the man means business mtasubili sana.
 
Back
Top Bottom