Dr. Mwigulu Nchemba
Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,169
Mheshimiwa heshima kwako asee mtu wangu wa nguvu. Nachokuomba mwanangu mtu wangu wa nguvu usinisahau 2030 kuendelea kwenye ufalme wako hata ubalozi ama UDC.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW). Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.
Raisi wa nini mkuu?Kumbe raisi wa baadae nawe humo humu pamoja muheshimiwa
Mpo vizuri aisee. Pamoja na yale ma VXR yote ya msafara wa mama hamjafilisika....hakika mama anaupiga mwingi😂😂Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW). Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye wenye kututakia mabaya.